Nilikuja na uzi humu kuhusu mpenzi wangu ambae nilishapanga kabisa siku sio nyingi kama Mungu akipenda mimi Zero IQ niuage ukapela Rasmi niingie kwenye nyumba ya Ndoa,
Uzi wenyewe ni huu[emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/30885089
Nilikuwa nalalamika tu kwamba mpenzi wangu huyu aliniomba kiasi flani cha pesa kwa kuwa nilikuwa naumwa kama siku tatu sikutoka kwenda mishe nilimuomba anivumilie ile siku nilikuwa na nafuu kesho yake nitoke niende mishe Mola akijalia nitamtumia,
Ofcourse alinijibu vibaya kitu kama vile Sitaki kumtumia na wakati siku zote akiwa na Shida natatua kuanzia kula yake mpaka vaa yake lakini alishindwa kunielewa tu ile kosa ya siku moja,
Tuliacha kuchati mala pale tu niliposema sina hela na yeye kuona as if ninazo ila namnyima,usiku nilimtakia usiku mwema lakini hakunijibu,
Sasa Leo ni siku ya Tatu sijaona Call yake wala Sms ya salamu,
Na mimi nilivyoona hakuna jibu kwa ile SMS yangu ya Usiku mwema, nikaamua kukaa kimya till leo lakini inanishangaza sana,
Nimemtambulisha kila sehemu kuanzia kwa mama, baba mpaka ndugu zangu wa pembeni lakini she is no more now,
Hii hali inanifanya nianze kumchukia.
CC Zero IQ
Hakika mkuu ndio maana sitaki kuoa mimi ila basi tu nilitaka nitulieMkuu usishangae. Hao ndio wanawake haswa kama una kazi nzur halaf anafaham. Ukimwambie huna hela anaona kama vile unamnyima. Anaonakama vile hutaki kumpa.. kichwan kwake anawaza unazo kila saaaaaa.
Hii ndio shida ya wanawake kama hao..akiwa na shida anataka haraka.. ukiwa nayo ww hakuelewi.
Mfute mara ya mwisho jarib kumwambia uliyokuwa unapitia. Asikiweka ngumu. Kaka funga kitabu tembea kifua mbele.. umetupa gunia la misumari mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha ha inabidi iwe hivyo hakuna namnaAkijileta tu nampiga chini
CC Zero IQ
Nipe hiyo inshu mzee mbaba
CC Zero IQ
NenoKwake wewe ulikuwa atm yake
Sasa atm haisomi siku moja anaziraha
Ndgu hayo ni maisha yanapita
Endelea na maisha tafuta hela akija mwingine anajali na kuelewa nenda naye jua tuu baadae atarudi akiona umetulia na uko na mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshajiongeza mkuuZero IQ!!!. Mkuu huyo hafai kuwa mke utapata tabu sana maishani mwako. Jiongeze mkuu acha kujishushia heshima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimenyanyaswa mkuuNikikuta popote pale mtaani, ktk vyombo vya habari na humu ktk mitandao ya kijamii mtu analalamika kunyanyaswa na mwanamke huwa naumia sana kwa kumsikitikia. Yani mwanaume unaejiamini unanyanyaswa na mwanamke! au mimi Mungu aliniumba tofauti? Labda kichwa changu nakijua mwenyewe hata jiwe anasubiri. Mwanamkeee!!! bidhaa hii inayozagaa kila mtaa!!! Yenye bei ya kutupa?
Sent using Jamii Forums mobile app