Siku ya tatu Gongo la Mboto hatuna umeme

Noel 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2014
Posts
718
Reaction score
292
Wadau, ni siku ya Tatu sasa hatuna Umeme Gomz, nasikia mpaka chanika kote huko hakuna Umeme, Jambo la Ajabu, hakuna anaejua sababu hasa za kwann hakuna Umeme, kwann Tanesco wamekata Umeme? Kila napouliza, napewa sababu tafauti, yaan kila mtu ana jibu lake, nashindwa kujua lipi jibu sahihi?

Naomba wana jf mnisaidie, kama yupo anaejua sababu za kukatiwa Umeme siku zote hizi ni nini? Na kwann hawakututaarifu Mapema, tunyooshe nguo za wiki nzima, Tujaze maji ndani na kadhalika?

Kwanini tumekatIwa Umeme, na Kwann hatukuambiwa in advance kuwa hatutakuwa na Umeme kwa kipindi cha zaidi yq siku Tatu? Yaani ni as If huu umeme tunapewa bure?

Wadau mnalizungumziaje hili?
 
Kuna demu anatuzingua huko tumeona bora tumtie adabu. By tanesco hq
 
Huku kwetu sisi wanasubiri mpira uanze wakate.. mamaee zao
 
Wadau, ni siku ya Tatu sasa hatuna Umeme Gomz, nasikia mpaka chanika kote huko hakuna Umeme, Jambo la Ajabu, hakuna anaejua sababu hasa za kwann hakuna Umeme, kwann Tanesco wamekata Umeme? Kila napouliza, napewa sababu tafauti, yaan kila mtu ana jibu lake, nashindwa kujua lipi jibu sahihi?

Naomba wana jf mnisaidie, kama yupo anaejua sababu za kukatiwa Umeme siku zote hizi ni nini? Na kwann hawakututaarifu Mapema, tunyooshe nguo za wiki nzima, Tujaze maji ndani na kadhalika?

Kwanini tumekatIwa Umeme, na Kwann hatukuambiwa in advance kuwa hatutakuwa na Umeme kwa kipindi cha zaidi yq siku Tatu? Yaani ni as If huu umeme tunapewa bure?

Wadau mnalizungumziaje hili?

Mkome, huko kote ama mlichagua au mliruhusu wizi wa kura ili ccm washinde. Na hicho ni cha mtoto, koseeni 2015 muone cha moto!
 
Jutieni ujinga wenu....si mliyataka wenyewe sasa mnalalamika nini......tulisha waambia kuchagua ccm ni sawa na kuchagua umaskin hamuelewi....
 
Wadau, ni siku ya Tatu sasa hatuna Umeme Gomz, nasikia mpaka chanika kote huko hakuna Umeme, Jambo la Ajabu, hakuna anaejua sababu hasa za kwann hakuna Umeme, kwann Tanesco wamekata Umeme? Kila napouliza, napewa sababu tafauti, yaan kila mtu ana jibu lake, nashindwa kujua lipi jibu sahihi?

Naomba wana jf mnisaidie, kama yupo anaejua sababu za kukatiwa Umeme siku zote hizi ni nini? Na kwann hawakututaarifu Mapema, tunyooshe nguo za wiki nzima, Tujaze maji ndani na kadhalika?

Kwanini tumekatIwa Umeme, na Kwann hatukuambiwa in advance kuwa hatutakuwa na Umeme kwa kipindi cha zaidi yq siku Tatu? Yaani ni as If huu umeme tunapewa bure?

Wadau mnalizungumziaje hili?

mkuu kuna transifoma kubwa wanabadilisha kwa jina sipajui ila karibu na kiwanda cha namera
 
wasiliana nasi kwa simu nambari 022 2194400.
Wahudumu ni wachangamfu na wenye ari watakuhudumia kwa haraka na uhakika.

“TANESCO Tunayaangaza Maisha yako”

"kidumu chama cha CCcM" tunaomba kura zenu tena mwakani 2015.
 
Jutieni ujinga wenu....si mliyataka wenyewe sasa mnalalamika nini......tulisha waambia kuchagua ccm ni sawa na kuchagua umaskin hamuelewi....

Dah! Tumekosea wadau tusameeni jamani, sasa naanza kupata imani kali ktk hili, bila shaka kuna Mkono wa wanaUkawa. Ha ha ha ha ' joke.
 
mkuu kuna transifoma kubwa wanabadilisha kwa jina sipajui ila karibu na kiwanda cha namera

Mkuu, Eti mi nilisikia, walipita wanatangaza eti wanabadilisha Nguzo chakavu. Sasa hayo yoote kwangu sawa, Najiuliza kwanini hawakutua alert mapema? Tuchaji na Power bank zetuuuu????
 
mkituchagua tena 2015 tutakata na maji...
 
Back
Top Bottom