Siku ya tano leo wife kaninunia kisa nilimchana ukweli kuwa hajapendeza

Usilolijua ni kwamba kuna uwezekano mkubwa sana mtu mwingine akatunukiwa doggy style!Jifunze kumpenda sana mke wako.Mke akinuna ni majinga matupu.

Nakumbuka kuna siku niliwahi kumuuzi girlfriend wangu ambae tulikuwa tunaishi nyumba moja,usiku huo akawa yupo busy sana na simu(mambo ya kuchat).Kesho yake asubuhi akaniaga kuwa anaenda saloon.Alirudi jioni akiwa anachechemea😬😬😬 na siku hiyo usiku hakutaka nimsogelee kabisa!Kumbe kuna mjinga fulani alienda kutunukiwa doggy style!😬Na huo mjinga wala hakuremba kama mimi ninavyorembaga.
 
Mtoa mada usirudie tena kumuudhi mkeo kwa maneno ya kumvunja moyo ni bora ukae kimya na uishinde hasira yako. Wanawake wanapenda kusifiwa na ndio njia kuu ya kumu-win mwanamke yoyote duniani hata awe Malkia. Kwa sisi wazoefu wa fani tunaamini unaweza kung'oa demu yoyote kwa kumsifia sana.

Unampo mkashifu mkeo unamvunja moyo sana maana kwake yeye anachukulia kuwa humpendi.

Usirudie tena kufanya hilo kosa na pia uombe msamaha kwa kuwa ulimkosea na mwambie ukweli kuwa alipendeza ila ulisema vile kwa kuwa ulikasirika ulipochukua muda mrefu ila kiukweli mwambie alipendeza. Ukifanya hivyo atafurahi na pia hatorudia tena kosa la kutojiandaa mapema mkiwa na mtoko.

Pia elewa kuwa mwanamke anaposema nitatoka saluni ndani ya dakika kumi ni sawa na mwanaume aliye baa akamwambia mkewe nitarudi baada ya dk 10 (wote hawa uwa hawasemi kweli.

Mpende mkeo na akikisha amani ya nyumbani inakuwepo kwa gharama yoyote hata kwa kujishusha kama ulikosea kama ulivyofanya wewe.
 
Sawa mkuu
 
Kitanda mnacholalala kina ukuta katikati?
Habari za leo watanganyika wenzangu?

Jumamosi iliyopita tulikuwa na mwaliko wa harusi,sasa basi my wife akaniambia nikimaliza mizunguko yangu nimpitie ofisini kwake ili twende wote home tukajiandae, well me kwenye saa 10 hivi jioni nikawa nimemaliza mizunguko yangu, nikasema ngoja nimpitie wife kama tulivyokubaliana nilivyofika akaniambia nimdrop kwanza saloon akafanye make up akaniambia hapo saloon angetumia dakika 10 tu, so me nikampeleka hapo saloon then nikawa niko kwenye gari namsubiri,matokeo yake akatumia zaidi ya lisaa limoja humo ndani, ofcoz me niliudhika sana coz alijua leo tutatoka kwa nini hayo mambo ya saloon hakuyafanya mapema?

Alivyomaliza mambo yake akaja kwenye gari me nikaamua kumuudhi makusudi tu, nikamwambia hiyo make up aliyofanya haijampendeza kabisa, bora awe anabaki na sura yake ya kawaida tu.alikasirika sana baada ya kumuambia hivyo,akaniuliza kama mimi sitomsifia nani mwingine wa kumsifia aliongea mengi sana me nikampuuza tu so tangu Jumamosi Hadi leo kaninunia,hanisemeshi chochote.

Kuna haja ya kumuomba msamaha au nami niendelee kukaza buti w
 
Wanawake wapo hivyo, kuna siku tulihudhuria sendoff moja hivi ilikuwa ni mtu wa karibu na wife so ilibidi aende mapema mimi nitamkuta huko, so nilichelewa mahali kidogo nikafika kwenye saa mbili hivi alipofika kunipokea lah haula hizo makeup na wigi kweli hakuoendeza.

Nikijua nikimwambia atajisikia vibaya na atamind zaidi ya wiki basi nikakaa kimya ila sikuwa na amani sana.

Baada ya wiki tukiwa tumetoka nilimwambia wife unaonaje uwe inapunguza makeup, na vipi kama utakuwa inasuka au uwe na nywele fupi? Nilimwambia siku ile ya sendoff ulizidisha makeup pia lile wigi lilikuwa kubwa sana.

Alicho jibu, nikafirahi, alisema mpenzi mbona hukuniambia siku ile ile, nikamwambia isingekuwa busara.

Wanawake wanahitaji kukaa nao kwa akili sana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna haja ya kumuomba msamaha au nami niendelee kukaza buti wakuu?
Mkuu umefanya ujinga mkubwa sana aiseee.

Mkuu mwanamke haambiwi HUJAPENDEZA hata kama hajapendeza.

Mwanamke haambiwi hujui kupika hata kama hajui kweli.

Mwanamke hajibiwi NDIO SIKUPENDI hata kama kakuuliza VIPI UNANIPENDA ?

Mkuu mwanamke kumuambia hujapendeza ni utoto wa hali ya juu,hili neno hutakiwi kumuambia hata kidogo,wewe jiambie tu moyoni kuwa "hapa wife hajapendeza" lakini mdomoni itoke "umependeza"

Alafu mkeo akinuna usimuache tu mkuu siku kadhaa zinapita,hiyo maana yake na wewe umenuna unampotezea sio sawa mkuu.

Yani jambo dogo kama hilo unaweza kudharau lakini lina maana kubwa sana kwa mwanamke.

Kuna siku nilitegwa mimi wife akasema "aah enzi zangu mimi sio sasa hivi nishazaa hapa nimechakaa" mimi nikajifanya nimeshangaa nikamuambia "UMECHAKAA WEWE "? unamatani sana wewe mwanamke,umechakaa vipi wakati mtoto unazidi kunawiri,mtoto wapendeza zaidi kila siku unaishinda jaana alafu unasema unafubaa au ama kweli nyani haoni kundule.

Basi bwana waifu akatabasamu tu kwa ishara kuwa karidhika na majibu.

Sasa mazingira kama hayo sio na wewe unapigia msumari kuwa "aaaah enzi zako hasa kweli ulikuwa uko vizuri saivi aaaah kama unavyosema mwenyewe viwango hafifu" ukisema hivi lazima ataweka kinyogo na pengine ukazuka ugomvi na ataanza kukufatilia kama huchepuki ama laa.

Na hapo ndo inakuja suala la kuwa uwongo kwenye ndoa sio dhambi mmzee ila ni ule uongo ambao hauna lengo la kumdhulumu mwingine na uongo wenye lengo la kutengeneza ndoa.
 
Wanawake wapo hivyo, kuna siku tulihudhuria sendoff moja hivi ilikuwa ni mtu wa karibu na wife so ilibidi aende mapema mimi nitamkuta huko, so nilichelewa mahali kidogo nikafika kwenye saa mbili hivi alipofika kunipokea lah haula hizo makeup na wigi kweli hakuoendeza.

Nikijua nikimwambia atajisikia vibaya na atamind zaidi ya wiki basi nikakaa kimya ila sikuwa na amani sana.

Baada ya wiki tukiwa tumetoka nilimwambia wife unaonaje uwe inapunguza makeup, na vipi kama utakuwa inasuka au uwe na nywele fupi? Nilimwambia siku ile ya sendoff ulizidisha makeup pia lile wigi lilikuwa kubwa sana.

Alicho jibu, nikafirahi, alisema mpenzi mbona hukuniambia siku ile ile, nikamwambia isingekuwa busara.

Wanawake wanahitaji kukaa nao kwa akili sana

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu..
 
Muda wa salon hautabiriki mjomba.
Ila hukufanya vizuri kumwambia ulivyomwambia maana hata Mimi ningenuna ila nisingefikisha siku 5😂😂😂..bembeleza arudi katiak hali yake ya siku zote..shauri yako
 
Mzee baba umezingua sana sio vyema kumwambia mke wako neno kama hilo ilipaswa umsifie sana pia jitaidi ukontroo hasira zako kwa mkeo, kinachotakiwa jitaidi mkishakura chakula cha usiku mkiwa kitandani mwombe msamaha hapo upo nae zero distensi bila shaka atakusamehe sasa kinachofata hapo mchombeze unakula mzigo flesh kabisa baada ya hapo utakuja kuleta mrejesho hapa.
 
Asipoelewa hapa, Basi ni sikio la kufa
Mtoa mada usirudie tena kumuudhi mkeo kwa maneno ya kumvunja moyo ni bora ukae kimya na uishinde hasira yako. Wanawake wanapenda kusifiwa na ndio njia kuu ya kumu-win mwanamke yoyote duniani hata awe Malkia. Kwa sisi wazoefu wa fani tunaamini unaweza kung'oa demu yoyote kwa kumsifia sana.

Unampo mkashifu mkeo unamvunja moyo sana maana kwake yeye anachukulia kuwa humpendi.

Usirudie tena kufanya hilo kosa na pia uombe msamaha kwa kuwa ulimkosea na mwambie ukweli kuwa alipendeza ila ulisema vile kwa kuwa ulikasirika ulipochukua muda mrefu ila kiukweli mwambie alipendeza. Ukifanya hivyo atafurahi na pia hatorudia tena kosa la kutojiandaa mapema mkiwa na mtoko.

Pia elewa kuwa mwanamke anaposema nitatoka saluni ndani ya dakika kumi ni sawa na mwanaume aliye baa akamwambia mkewe nitarudi baada ya dk 10 (wote hawa uwa hawasemi kweli.

Mpende mkeo na akikisha amani ya nyumbani inakuwepo kwa gharama yoyote hata kwa kujishusha kama ulikosea kama ulivyofanya wewe.
 
Habari za leo watanganyika wenzangu?

Jumamosi iliyopita tulikuwa na mwaliko wa harusi,sasa basi my wife akaniambia nikimaliza mizunguko yangu nimpitie ofisini kwake ili twende wote home tukajiandae, well me kwenye saa 10 hivi jioni nikawa nimemaliza mizunguko yangu, nikasema ngoja nimpitie wife kama tulivyokubaliana nilivyofika akaniambia nimdrop kwanza saloon akafanye make up akaniambia hapo saloon angetumia dakika 10 tu, so me nikampeleka hapo saloon then nikawa niko kwenye gari namsubiri,matokeo yake akatumia zaidi ya lisaa limoja humo ndani, ofcoz me niliudhika sana coz alijua leo tutatoka kwa nini hayo mambo ya saloon hakuyafanya mapema?

Alivyomaliza mambo yake akaja kwenye gari me nikaamua kumuudhi makusudi tu, nikamwambia hiyo make up aliyofanya haijampendeza kabisa, bora awe anabaki na sura yake ya kawaida tu.alikasirika sana baada ya kumuambia hivyo,akaniuliza kama mimi sitomsifia nani mwingine wa kumsifia aliongea mengi sana me nikampuuza tu so tangu Jumamosi Hadi leo kaninunia,hanisemeshi chochote.

Kuna haja ya kumuomba msamaha au nami niendelee kukaza buti wakuu?
Kaza buti tu mkuu, nyege zikizidi utaomba mwenyewe tu msamaha. Wala halina mda mrefu utatuzi utaupata mwenyewe bila shuruti🤣🤣🤣
 
Usilolijua ni kwamba kuna uwezekano mkubwa sana mtu mwingine akatunukiwa doggy style!Jifunze kumpenda sana mke wako.Mke akinuna ni majinga matupu.

Nakumbuka kuna siku niliwahi kumuuzi girlfriend wangu ambae tulikuwa tunaishi nyumba moja,usiku huo akawa yupo busy sana na simu(mambo ya kuchat).Kesho yake asubuhi akaniaga kuwa anaenda saloon.Alirudi jioni akiwa anachechemea na siku hiyo usiku hakutaka nimsogelee kabisa!Kumbe kuna mjinga fulani alienda kutunukiwa doggy style!Na huo mjinga wala hakuremba kama mimi ninavyorembaga.
pole mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom