Kwa hiyo na wewe ni myahudi??KWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.
SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI
.. Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya Mwanzo 2:3
SIKU YA SABA NI LINI?
-Yesu alikufa saa tisa siku ya maandalio ya Sabato.... Marko 15:33 & 42 na alifufuka siku ya KWANZA ya juma baada ya Sabato... Marko 16: 1-6
-Siku ya maandalio ya Sabato ni ijumaa
USHAHIDI: Katoliki na waprotestanti wote wanaadhimisha "IJUMAA KUU" kwa dhana ya kwamba Yesu aliuwawa IJUMAA
-Sabato ni Jumamosi
USHAHIDI: Wayahudi hawajawahi kuacha kutunza Sabato "SIKU YAO YA SABATO NI JUMAMOSI"
Ushahidi butuKWANZA SIKU INAANZA JIONI

Weka ushahidi kwako wenye "MAKALI"Ushahidi butu
Kwani kuna mtu kakuzuia kuwa myahudi, usitulazimishe wote tuwe wayahudi. Sabato ni siku ya saba inategemea umemua kuhesabu kuanzia wapiKWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.
SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI
.. Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya Mwanzo 2:3
SIKU YA SABA NI LINI?
-Yesu alikufa saa tisa siku ya maandalio ya Sabato.... Marko 15:33 & 42 na alifufuka siku ya KWANZA ya juma baada ya Sabato... Marko 16: 1-6
-Siku ya maandalio ya Sabato ni ijumaa
USHAHIDI: Katoliki na waprotestanti wote wanaadhimisha "IJUMAA KUU" kwa dhana ya kwamba Yesu aliuwawa IJUMAA
-Sabato ni Jumamosi
USHAHIDI: Wayahudi hawajawahi kuacha kutunza Sabato "SIKU YAO YA SABATO NI JUMAMOSI"
Ni jambo lisilo na shaka kuwa sabato ni siku ya jumamosi ila chenye shaka ktk ulimwengu wa leo wa kiimani ni kwamba waitii amri hii ya Mungu ama wasiitii,,,
Dunia ya leo hamna wa kupinga kuwa sabato ni jumamosi ila watu wanachomiss ni kutambua kuwa sabato ni amri na utaratibu wa Mungu uliowekwa toka bustani eden na baadae kukumbushiwa pale mlimani Sinai kutoka 20:8 na baadae utaratibu huu ukaendelea kudumishwa na Yesu hata na mitume na kanisa la awali baada ya Yesu kupaa pia ni biblia hiyo hiyo inatuarifu kupitia kwa nabii Isaya 66:23 kuwa hadi kule mbinguni ibada itakuwa siku ya sabato
Watu hawafanyi ibada kwa kutii maagizo ya Mungu ila wanatii taratibu za wanadamu ambazo si salama kwao kufanya ibada isiyo na utii maana kabla ya ujio wa Yesu kutakuwa na makundi mawili moja linalofanya kwa utii kwa Mungu na jingine kwa kuongeza uchakachuzi na hapo kutakuwa na kundi lenye chapa ya mnyama yaani lisilo na utii kwa Mungu na jingine lenye muhuri wa Mungu kama tu ilivyokuwa kwa kaini na Abel, wote walitoa sadaka ila utii na unyenyekevu ukaleta tofauti
Amua basi mwaka uanze DecemberKwani kuna mtu kakuzuia kuwa myahudi, usitulazimishe wote tuwe wayahudi. Sabato ni siku ya saba inategemea umemua kuhesabu kuanzia wapi
Kwa hiyo wao hawana "jioni"?Sawa, ya saba ni jumamosi. Unajua inapofika jioni unaanza kufunga, ktk DUNIA hii hii kuna watu jua linachomoza, ni usiku wa manane wa siku tofauti? Jiongeze.
Hata Kiswahili kinakushinda masikini,unajua neno MOSI lina maana gani? Tafakari kisha chukua hatua mapema maana unaishi kwenye upotofu!!KWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.
SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI
.. Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya Mwanzo 2:3
SIKU YA SABA NI LINI?
-Yesu alikufa saa tisa siku ya maandalio ya Sabato.... Marko 15:33 & 42 na alifufuka siku ya KWANZA ya juma baada ya Sabato... Marko 16: 1-6
-Siku ya maandalio ya Sabato ni ijumaa
USHAHIDI: Katoliki na waprotestanti wote wanaadhimisha "IJUMAA KUU" kwa dhana ya kwamba Yesu aliuwawa IJUMAA
-Sabato ni Jumamosi
USHAHIDI: Wayahudi hawajawahi kuacha kutunza Sabato "SIKU YAO YA SABATO NI JUMAMOSI"
Mkuu hilo ni neno la kiarabu na waarabu walipotosha makusudi ila ukweli ni kwamba jumamosi ndiyo siku ya 7Hata Kiswahili kinakushinda masikini,unajua neno MOSI lina maana gani? Tafakari kisha chukua hatua mapema maana unaishi kwenye upotofu!!
Kupinga? Kumbe unataka kupingwa?Weka ushahidi kwako wenye "MAKALI"
unaopinga
Tofauti na kiswahili nikuhakikishie tu kuwa shule yangu ni kubwa sana.Hata Kiswahili kinakushinda masikini,unajua neno MOSI lina maana gani? Tafakari kisha chukua hatua mapema maana unaishi kwenye upotofu!!
Miafrika akili zetu zilijazwa kamasi sana. Kutwa kucha kubishania mambo ya dini ambazo hata hazina chimbuko la Uafrika. Acheni ujinga na Utumwa wa Kubishania mara Ukristo na Uislamu hizo ni imani tu tuheshimiane bila kukwazana maaana mwishoe huwa tunamwaga damu. Huuu nao nia aina fulani ya Ujinga na Ukichaaa. Marx alisema RELIGION IS THE OPIUM OF THE PEOPLE. Ama kweli....
Hii ni picha ya KALENDA ya simu. Je ni siku ipi imeanza kwenye orodha? ni jumapili au Jumamosi?Hata Kiswahili kinakushinda masikini,unajua neno MOSI lina maana gani? Tafakari kisha chukua hatua mapema maana unaishi kwenye upotofu!!