Unataka tukusaidie mada za kuandika ama?yan title za thread
Unataka tukusaidie mada za kuandika ama?
Mi mwenyewe nahitaji maana huwa nashindwa kuanzisha uzi kwa kukosa tittle. Yaani huyu anataka atumie akili zetu 😀😀Anataka title
Mi mwenyewe nahitaji maana huwa nashindwa kuanzisha uzi kwa kukosa tittle. Yaani huyu anataka atumie akili zetu [emoji3][emoji3]
Labda utulipe.