Siku ya Ngekewa

Siku ya Ngekewa

Lugumgya

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2019
Posts
629
Reaction score
2,009
JF mpooooooooo!

Karibuni katika *Siku ya Ngekewa*. Siku ya Ngekewa ni siku ambayo huwezi kuisahau katika maisha yako. Siku ambayo ilikuwa ya neema kwako. The day of beating the odds! Bila kutarajia ukajikuta unapata ufumbuzi wa jambo ambalo lilikuwa gumu kwako, unapata wepesi. Yaani jambo fulani likatokea hadi wew mwenyewe ukashangaa.

Yaweza kuwa kupata kibarua ama ajira, kukuta mtihani uko upande wako japo hukuwa umejiandaa vizuri siku hiyo, kupata toto kali na kudinya bila kutarajia, kupanda daladala bila nauli na konda akapotezea, umechacha mtu anakupigia anakwambia kuna mchongo, nk.

*Siku yangu ya Ngekewa*

Ni siku ya Jumamosi jioni, nipo room nimeboreka, sina Cha kufanya zaidi ya kusikiliza muziki kwenye subwoofer. Nawaza nimpigie nani aje anisaidie kusukuma masaa? Kila nikiingia kwenye phone book sioni wa kunipa msaada! Daah , siku mbaya sana hii. How comes that I'm alone and so lonely like this. Ngoma ya Akon inapigwa, loneliiii, mi naitikia, so loneliiii, have no bali, bali, baliiii.

Ghafla roho ikanambia mpigie Anita, level 5 Hombolo (yeye anaita Diploma 1). Nikamtumia sms. Nita nita, cute la macute, mambooooo! Akajibu pouw, niaj? Nikamwambia ni gud but nimekuwazaj mrembo! Huwez amini nakufikiria hadi natamani nije kukuona labda nafsi yangu ipone! Akacheka, hahahah, mwenzio nina test Jtatu, na kama unavyojua mambo ya msuli paper! Ndo natarajia nikomae leo na kesho ili walau coursework isome.

Nikamjibu sawa mama, mi sina pingamizi, nakutakia kheri lakn ukae ukijua kabisa kuwa rafk yako aninitesa, yaani kila muda ni raising and falling like oceanic tides.
Mwambie awe mpole, baada ya test nakuja kumtuliza! Nikaamua nimuache afanye maandaliz ya mitihani yake, nisije kuwa kisingizio Cha mi- supplementary ikitokea ikawa hivo. Nilimuaga, huku nikijiona kama nimegonga mwamba! Bila kujua kama siku hiyo ilikuwa siku yangu ya Ngekewa!

Naitazama simu yangu, naona ni saa 11.46 jioni, nikaona ngoja nitoke niende nikanyooshe nyooshe miguu, na kupunguza mawazo juu ya kumkosa mtoto Anita. Ni ukweli usiokuwa na shaka kwamba, kichwa Cha jogoo mbeba maono kilikuwa hakitaki kutulia.

Nilijitahidi, kufikiria vifungu vya maandiko ili kukidanganya lkn wapi. Mara Ole wenu, mnaichochea zinaa, ole wao wasabishao makwazo, Mara mtu mpumbavu atajenga nyumba juu ya mchanga asiposikia neno, Mara ikimbieni zinaa. Lkn naona Shwetaini alikuwa on duty siku hiyo (simkiri Shwetaini, lkn nasema hapa alishinda) maana mbeba maono alishindwa kutulia kabisa. Moyo ukawa unawaka tamaa, unawaka kama Moto uliyounguza Mt Kilimanjaro.

Basi niliamua nitoke ndani, nikatembea kwenda centre nipige pige story za mipira na nk ili kujisaulisha na mawazo mabaya.

Nikiwa nakaribia taasisi moja hivi ya Elimu ghafla nikasikia filimbi ya kumaanisha tusimame, ooooh kumbe saa 12, bendera ya Taifa ilikuwa inashushwa, kweli nilisimama na kuangalia mbele kwa ukakamavu Mkubwa. Hapo ndo jicho langu lilipogongana na binti mmoja mzuri na mrembo Sana, aliyekuwa pia amesimama kuheshimu tukio la kushushwa kwa bendera ya Taifa. Mara fiiiiiiiiiii, kuashiria tunaweza kuendelea na Safari zetu.

Mi nasonga yeye anakuja..... Siku ya Ngekewa ni siku ya Ngekewa tu asikwambie mtu.....!

Itaendeleeea!
 
Kila mwana adamu anayo hiyo siku yake ambayo ww unaita ngekewa.
 
mimi ilikua last week nimetulia zangu mara mtu wa kwanza namdai laki mbili ananiambia nitumie akaunti nikuwekee fasta mzigo ukaingia mara kuna mshkaji namdai laki na nusu ina kama miaka miwili hivi akanichekecha akaituma mara kuna laki saba malipo yangu flani ofisini nayo yakatiki ha ha ha ha ha nilifurai kinoma
 
Hakika ilikuwa siku ya Ngekewa kwako Mkuu. Hahahahah!
 
We jamaa boya kweli yaaan. Sas itaendelea vp kwan imekua bongo movie hii au....? Kama vp kawe mtunzi bwana. Sema umetisha maan umejenga attention sio ya kitoto
Hata wewe ni boya hivyo hivyo

Si ameandika mwenyewe kuwa itaendelea.
 
JF mpooooooooo!

Karibuni katika *Siku ya Ngekewa*. Siku ya Ngekewa ni siku ambayo huwezi kuisahau katika maisha yako. Siku ambayo ilikuwa ya neema kwako. The day of beating the odds! Bila kutarajia ukajikuta unapata ufumbuzi wa jambo ambalo lilikuwa gumu kwako, unapata wepesi. Yaani jambo fulani likatokea hadi wew mwenyewe ukashangaa.

Yaweza kuwa kupata kibarua ama ajira, kukuta mtihani uko upande wako japo hukuwa umejiandaa vizuri siku hiyo, kupata toto kali na kudinya bila kutarajia, kupanda daladala bila nauli na konda akapotezea, umechacha mtu anakupigia anakwambia kuna mchongo, nk.

*Siku yangu ya Ngekewa*

Ni siku ya Jumamosi jioni, nipo room nimeboreka, sina Cha kufanya zaidi ya kusikiliza muziki kwenye subwoofer. Nawaza nimpigie nani aje anisaidie kusukuma masaa? Kila nikiingia kwenye phone book sioni wa kunipa msaada! Daah , siku mbaya sana hii. How comes that I'm alone and so lonely like this. Ngoma ya Akon inapigwa, loneliiii, mi naitikia, so loneliiii, have no bali, bali, baliiii.

Ghafla roho ikanambia mpigie Anita, level 5 Hombolo (yeye anaita Diploma 1). Nikamtumia sms. Nita nita, cute la macute, mambooooo! Akajibu pouw, niaj? Nikamwambia ni gud but nimekuwazaj mrembo! Huwez amini nakufikiria hadi natamani nije kukuona labda nafsi yangu ipone! Akacheka, hahahah, mwenzio nina test Jtatu, na kama unavyojua mambo ya msuli paper! Ndo natarajia nikomae leo na kesho ili walau coursework isome.

Nikamjibu sawa mama, mi sina pingamizi, nakutakia kheri lakn ukae ukijua kabisa kuwa rafk yako aninitesa, yaani kila muda ni raising and falling like oceanic tides.
Mwambie awe mpole, baada ya test nakuja kumtuliza! Nikaamua nimuache afanye maandaliz ya mitihani yake, nisije kuwa kisingizio Cha mi- supplementary ikitokea ikawa hivo. Nilimuaga, huku nikijiona kama nimegonga mwamba! Bila kujua kama siku hiyo ilikuwa siku yangu ya Ngekewa!

Naitazama simu yangu, naona ni saa 11.46 jioni, nikaona ngoja nitoke niende nikanyooshe nyooshe miguu, na kupunguza mawazo juu ya kumkosa mtoto Anita. Ni ukweli usiokuwa na shaka kwamba, kichwa Cha jogoo mbeba maono kilikuwa hakitaki kutulia.

Nilijitahidi, kufikiria vifungu vya maandiko ili kukidanganya lkn wapi. Mara Ole wenu, mnaichochea zinaa, ole wao wasabishao makwazo, Mara mtu mpumbavu atajenga nyumba juu ya mchanga asiposikia neno, Mara ikimbieni zinaa. Lkn naona Shwetaini alikuwa on duty siku hiyo (simkiri Shwetaini, lkn nasema hapa alishinda) maana mbeba maono alishindwa kutulia kabisa. Moyo ukawa unawaka tamaa, unawaka kama Moto uliyounguza Mt Kilimanjaro.

Basi niliamua nitoke ndani, nikatembea kwenda centre nipige pige story za mipira na nk ili kujisaulisha na mawazo mabaya.

Nikiwa nakaribia taasisi moja hivi ya Elimu ghafla nikasikia filimbi ya kumaanisha tusimame, ooooh kumbe saa 12, bendera ya Taifa ilikuwa inashushwa, kweli nilisimama na kuangalia mbele kwa ukakamavu Mkubwa. Hapo ndo jicho langu lilipogongana na binti mmoja mzuri na mrembo Sana, aliyekuwa pia amesimama kuheshimu tukio la kushushwa kwa bendera ya Taifa. Mara fiiiiiiiiiii, kuashiria tunaweza kuendelea na Safari zetu.

Mi nasonga yeye anakuja..... Siku ya Ngekewa ni siku ya Ngekewa tu asikwambie mtu.....!

Itaendeleeea!
Siku ya ngekewa na utalala central
 
mimi ilikua last week nimetulia zangu mara mtu wa kwanza namdai laki mbili ananiambia nitumie akaunti nikuwekee fasta mzigo ukaingia mara kuna mshkaji namdai laki na nusu ina kama miaka miwili hivi akanichekecha akaituma mara kuna laki saba malipo yangu flani ofisini nayo yakatiki ha ha ha ha ha nilifurai kinoma
Ukatoe fungu la kumi
 
haya ni mavi yaliyorembwa kwa icing sugar na urembo wa keki na wakaweka hadi cherry on top
 
Nlijua Ngekewa ya kupata mahela...Yaaani...Duuuh..masikini macho yangu
 
mimi ilikua last week nimetulia zangu mara mtu wa kwanza namdai laki mbili ananiambia nitumie akaunti nikuwekee fasta mzigo ukaingia mara kuna mshkaji namdai laki na nusu ina kama miaka miwili hivi akanichekecha akaituma mara kuna laki saba malipo yangu flani ofisini nayo yakatiki ha ha ha ha ha nilifurai kinoma
mkuuu kumbuka kutoa sadaka
 
Kama mnaleta habari nusu ni nafuu msiandike kabisa

Blood hell !!
 
Back
Top Bottom