matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,525
duu,Juzi hapa nilimlazimisha rafiki yangu kula parachichi. Alikuwa hajawahi kula kabla ya hapo. Sasa kila nikimshawishi alikuwa hataki. Nikakata kipande kidogo hivi cha pembe tatu.
Nikamwambia kula hata hucbi kidogo huku usilifikirie, jamaa akala.
Aiseeh. Unajua alisemaje
"Kuna kipande chengine hapo uniongeze".
Sent using Jamii Forums mobile app
Tikiti maji mkuu kwani kunatikiti barafu.Tikiti Tikiti maji au Tikiti nini? Ukaenda kulilia wapi vile? Kwanini sio nyumbani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama. Hauli.parachichi basi ujue unakosa vitu vingi. Sana ktk mwili. Wako yaani. Yanafaida kwa. Afya hakuna tunda linasogea hata kidogoduu,
mkuu mimi nimeshangaa eti parachichi watu wanalia hadi ugali na wali.
wakati home enzi hizo yalikuwepo yakiiva tunayachezea tu tulipokuwa watoto.
Hilo naliona tangu mdogo ila nikionja tu nahisi kutapika. Juzijuzi baada ya kugundua ni la Muhimu nikaanza kunya sharubati (Juice yake) Sikuhizi na mimi nimeiga kula japo kwa kujilazimisha.
Mimi nilizoea, Stafeli, maembe dodo, topetope, maembe madogo, sungwi.
Jamaa nikiwashangaa wanapendea nini parachichi wananicheka.
Hilo topetope ni tunda gani mbona silijui aisee naomba picha yake tafadhali'Topetope' hili tunda nimeliona na kufanikiwa kulila wiki 3 nyuma, iliniwia vigumu kidogo, maana lina maji na sukari kama yote, halafu ni tepetepe sana.
Ni tunda jamii ya stafeli kiongozi, Picha ingia 'Gugo' [emoji41]Hilo topetope ni tunda gani mbona silijui aisee naomba picha yake tafadhali
{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
OkayNi tunda jamii ya stafeli kiongozi, Picha ingia 'Gugo' [emoji41]
sawa mkuuKama. Hauli.parachichi basi ujue unakosa vitu vingi. Sana ktk mwili. Wako yaani. Yanafaida kwa. Afya hakuna tunda linasogea hata kidogo
{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
ukibaatisha topetope lililoiva vizuri, ni tamu mnoo'Topetope' hili tunda nimeliona na kufanikiwa kulila wiki 3 nyuma, iliniwia vigumu kidogo, maana lina maji na sukari kama yote, halafu ni tepetepe sana.
hili huwa naliona kwenye mavitabu ya kizungu tu, siku nikiliona lazima nilionje pia. Haiwezekani mwaka mzima unakula matunda aina nne au tano tu, labda ndio maana akili zinakuwa za kuungaunga.Kuna tunda linaitwa kiwi... Natamani siku nlionje.. But hisia zangu zinaniambia lina ladha mbaya kuliko matunda yote
Sent using Jamii Forums mobile app
da hili silijui au ndio lile la kwenye miti flani kama mnazi kula wanaiita mihama, ndio chanzo cha neno kahama?Kuna tunda linaitwa Pama lipo kama Nazi lakini lenyewe lipo sana kanda ya kati shy ,tbr,SGD sijawahi kulielewa kabsa lakni naona watu walitafuna kwelikweli
mkuu mimi baada ya kuanzisha mahaba na tikiti, ninaweza kushindwa kula vyote ila sio tikitimaji. na nikila hata hamu ya kula vingine inaongezeka. Hiyo ya Homa ntajaribu siku nikiona homa inanivizia.Kuna mzee mmoja Dodoma aliniambia kama una homa ya ndani ambayo haijajitokeza ukila tikiti maji lazima homa ipande. Nami nilijaribu ilikuwa miaka ya mwishoni ya tisini ndio mara yangu ya kwanza kula nilipata mpaka yellow fever.
Sent using Jamii Forums mobile app
hili huwa naliona kwenye mavitabu ya kizungu tu, siku nikiliona lazima nilionje pia. Haiwezekani mwaka mzima unakula matunda aina nne au tano tu, labda ndio maana akili zinakuwa za kuungaunga.
Tikiti barafu 🤣🤣🤣Tikiti maji mkuu kwani kunatikiti barafu.
Nilienda chobisi makusudi ili nipate uzoefu nikiwa peke yangu, nilikuwa mwanafunzi enzi hizo so ningegundua ni zuri nilipanga nirudi kwa vijana wa mtaani niwashawishi niwe kama expert wake, na adhma ilitilima maana wengi waliokuwa hawayali kutokana na rangi ya ubichi ( enzi hizo yalikuwa yale ya kijani kibichi) tulikuwa tunayafananisha na matunda flani porini ambayo tuliaminishana ni matunda yenye sumu.
Tuliamini Tunda lililoiva lazima litoke kwenye ukijani kwenda rangi nyingine, Sasa Tikiti muda wote ni la kijani, nilikuwa nikiliona meno yanakufa ganzi nikijua ni chachu balaa.