Siku ya kuvunja Bunge,Kikwete ataanza Kampeni

Siku ya kuvunja Bunge,Kikwete ataanza Kampeni

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Huu ni utabiri wangu usio na chembe ya shaka,Kwa hulka ya Rais Jakaya na serekali yake,siku ya kulivunja bunge kikwete atarudia makosa yale yale ya bunge la katiba.

Mtakumbuka kwenye bunge la katiba kikwete alialikwa kulizindua mwishoe akaanza kuipigia rasmu kampeni na kuweka msimamo wake juu ya kile anachofikiri.

Hivyo hivyo Kikwete wakati wa kuvunja bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania atatoa hotuba ya kuwakashifu Ukawa na sehemu kubwa zaidi ya hotuba yake itakuwa ni sehemu ya kampeni kwa chama cha mapinduzi kuelekea Octobar.

Ukawa Subirini kwanza JK akafanye kampeni siku ya kuvunja bunge na nyie ndio mwiingie mtaani kupinga upotoshaji atakaoufanya.
 
Kuna ubaya gani wakati atakuwa anahutubia wabunge wa CCM tu.
 
Kuna ubaya gani wakati atakuwa anahutubia wabunge wa CCM tu.

Kumbe mnajuwa sio la wananchi ni la ccm
Mbona mkielezwa ukweli huo mnatowa povu?
Kweli lumbumba mnajitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom