Siku ya kuendesha baiskeli uchi duniani.

 
Tunapoelekea usishangae kukawa na kongamano la ngono. Watu wanakusanyika wanafanya ngono peupeeee.

Thipati picha mkuu.. Kinachonitisha zaidi tusije kuiga tu wabongo manake kila anachofanya mdhungu watu huku wanaadmire af wanaweka kile kibwagizo chao cha Sayansi na Teknolojia
 
Pengine kuna imani za kishirikina hapo. Kama ndivyo ubaya wao si zaidi ya baadhi ya wenzetu wanaoshiriki mauaji ya albino/wazee kwa namna mbalimbali - kwa mfano kutafuta mafanikio kwa masangoma.
 
Kazi kwelikweli, nahisi mwisho wa dunia umekaribia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…