Siku ya Kifo Changu

Mkuu sijui nini umewaza au umekumbana na nini lakini ukweli ni kwamba NO ONE GET OUT OF THIS WORLD ALIVE. We are all goin to die can’t imagine mwaka mmoja ni siku 365 kama nikiishi miaka kumi ni siku 3,650 tu aisee siku zinaenda sijuagi kwanini watu wanasherekea birthday.
 
Ha ha Sijakumbana Na chochote kaka, and I am very fine, Thanks. Just nimeshare mawazo ambayo wengi hawapendi kuyasikia LoL
 
Nimegundua kwamba nabishana na Zero Brain.
Hujanijibu hoja hata moja kila nilipokuonyesha unatudanganya.
Mimi na wewe nani hovyo?

Hujui kujenga hoja,
Hujui kutetea hoja,
Hujiamini na kikubwa zaidi nimbabaishaji wa kiwango cha juu.

Kiswahili chenyewe kinakusumbua unaenda kupaparikia lugha za watu, sifa au kitu gani?
Ona sasa huna pakushika.

Mzee wa 'none sense' bwana!
 
Mkuu hapo hata mimi pananiumiza kichwa sana , nimehangaika sana na maisha , kujifunza mambo ,mengi sana , Ila nikifikiria kifo kuwa kweli sioni sababu ya kuzaliwa , naona Kama hustling zote ni bure tu maana naamini nitaachwa majonzii makubwa sana kwa wanonitegemea .

Mimi kimenichukua kifo cha larry king, nikiangalia uwezo na ujuzi wa kuhoji uliokuwa kichwani kwa yule jamaa halafu ndo tunaenda kufukia ardhini kila kitu hakuna hata tunachoweza kuokoa , utaona jinsi tunavyopoteza resources. Yani maisha hayana kabisa thamani mbele ya kifo.
kila nikifikiriaga suala la kifo, kuna watu wawili ambao huwa wananiuma sana: Steve Jobs and Jesus Christ. Ingawa sometimes huwa nahoji hoji suala la uwepo wa Mungu, but hekima za huyu jamaa Jesus Christ huwa zinanifikirisha sana. Tunahangaika sana na haya maisha at the end everything becomes worthless at the face of death. Nimejifunza kuchukulia vitu easy na kuvirahisisha siku hizi. Nikipata rizki huwa nashukuru, ugomvi ni big no kwangu. I just want peace. I just want to see another day, another tommorow!
 
Kifo ni mabadiliko kama ilivyo utoto,ujana alafu utu uzima mwisho uzee. Kwa hiyo kuushinda uzee ni kujiandaa Jinsi ya kukabiliana nao. Kushinda kifo ni kujiandaa kwa ajili ya kifo. Njia sahihi ni meditation, ukifanya vizuri utatambua mabadiliko hayo ni nini cha kutegemea kitatokea. Jaribu utaleta mwenyewe majibu hapa hapa

Meditation ni nini? Na inafanyikaje
 
kila nikifikiriaga suala la kifo, kuna watu wawili ambao huwa wananiuma sana: Steve Jobs and Jesus Christ. Ingawa sometimes huwa nahoji hoji suala la uwepo wa Mungu, but hekima za huyu jamaa Jesus Christ huwa zinanifikirisha sana. Tunahangaika sana na haya maisha at the end everything becomes worthless at the face of death. Nimejifunza kuchukulia vitu easy na kuvirahisisha siku hizi. Nikipata rizki huwa nashukuru, ugomvi ni big no kwangu. I just want peace. I just want to see another day, another tommorow!

Good. But always you need to train your mind on accepting death. That one day you will have to transcend beyond all odds.

On your deathbed, everything will be revealed. Your past -future- present will be contained in the PRESENT MOMENT, one of the precious moment that we always forget.

The NOW.

As you grow older, you realize that DEATH is just right to your nose, like horizon, the further you go , the furthest it gets away from you , one day you will realize that you are just standing on it. I mean, you are the DEATH itself.

You have to die first before you become a human being. Think of it.
 
Meditation ni nini? Na inafanyikaje

Kwa kifupi kabisa, Meditation is the reflection of your true self. The one you are.

In other word, meditation is a SILENCE. Because silence is really loud .

Meditation is to realize that the one looking at you through my eyes, and the one looking at me through your eyes IS THE SAME ONE . The oneness.

Anything that blocks the ONENESS, is the devil working. THINK OF IT.
 
Kaka mkubwa alifia mikononi mwangu nikiwa nashuhudia ..kuanza kuangaika mpaka kukuta roho. Toka siku hiyo hofu ya kifo iliisha kwangu kabisa. Yaani kifo nakichukulia kama zawadi baada ya mateso ya duniani.
 
me naona mungu angebadilisha utaratibu wa kufa yaan tufe wote kwa pamoja puuuuh,,, alafu anaumba wengine baaada ya miaka kadhaa wanakufa tenaa puuuh hivyo hvyo
 
Back
Top Bottom