Siku ya Kifo Changu

Nachagua kufa kuliko kufiwa na wazazi wewe, kufa raisi kuishi kazi wewe
 
Ukifa hauna tofauti na mbuzi, kondoo nk wakifa. Maisha yako baada ya kufa hayana maana duniani, nadhani muhimu ni wakati unapoishi, kuishi kwa misingi bora ya kijamii.
Kusaidia ndugu na jamaa kila uwezavyo, usiwe sababu ya maumivu kwa jamii inayokuzunguka, usimchukie mtu, na onyesha upendo kwa kila mtu.
 
Kifo sikipendi sana tu sema sina namna, sad reality is that we gonna be chakula ya wadudu
 
Kifo sikipendi sana tu sema sina namna, sad reality is that we gonna be chakula ya wadudu

Pole. It is the Naked truth . The good thing is you won’t feel any pain, the people you left will ....
 

I agree with you. Jinsi ambavo tunachinja wanyama na kuwapika, ni the same thing kwa mwili wa binaadamu.

Ukishakufa Una kuwa ni mzoga au mti mkavu. You don’t feel anything just a dead body. Ndio maana kuna sehemu Madagascar they eat dead body, they cook as meat and sauce for rice or ugali. They say kiti moto haingii ndani kwa utamu.



pia ignorance yetu kwenye Death , wahuni nao hawakuwa nyuma kututisha ili watutawale vyema.

Ooh ukifanya Hivi utachomwa moto , utaenda peponi au motoni. Huyo Mungu awachome watu kwa kosa gani , kwanza uhusiano wa muda wa kuishi Na kufa Na adhabu itakayokuja kutokewa haina USAWA.

Yaani small life,.... Big death. There is no such a GOD , it is our projection ambayo haina uhalisia . Imagine wewe unaingia peponi and your mom anaenda motoni , would you feel Happy , as for me I won’t be happy kuona mm nakula bata then wenzangu wanakula shubiri kwenye joto .

Kama kweli kwako utaona ni Okay kuona binadamu wenzio wanachomwa moto
Huku ww unakula bata , and that makes you feel okay , basi jua unamtumikia shetani ( kwa maana iliyozoeleka, maana hata shetani hatujui ni kitu gani) hapa duniani.

There is no such a God.

Kwanza historically hakuna mtu aliyeenda Na kurudi akatupa feedback, Jibu sahihi ni kwamba hakuna anayejua chochote kitu what will happen when we die. No pope, no saint , no any prophet.
We are all ignorants

Full stop
 
Mambo matatu tu
1. ikiwa nitakufa alfajiri basi nizikwe saa saba mchana, maiti yangu isimalize masaa 24 bila kuzikwa
2.Asisubiriwe yoyote kwenye mazishi yangu
3.Nisizikwe na jeneza wala kitu chochote Cha thamani nizikwe na sanda tu.

Good decision
 
Huwa nasema kama ningepewa fursa ya kuchagua whether nizaliwe duniani au la ; mm nisingekubali kuzaliwa kwa maana matokeo ya kuzaliwa ni kifo, kama najua matokeo ni kifo kwanini niishi kwa fantasy then nije kuacha watu wangu kwa majonzi

Mkuu hapo hata mimi pananiumiza kichwa sana , nimehangaika sana na maisha , kujifunza mambo ,mengi sana , Ila nikifikiria kifo kuwa kweli sioni sababu ya kuzaliwa , naona Kama hustling zote ni bure tu maana naamini nitaachwa majonzii makubwa sana kwa wanonitegemea .

Mimi kimenichukua kifo cha larry king, nikiangalia uwezo na ujuzi wa kuhoji uliokuwa kichwani kwa yule jamaa halafu ndo tunaenda kufukia ardhini kila kitu hakuna hata tunachoweza kuokoa , utaona jinsi tunavyopoteza resources. Yani maisha hayana kabisa thamani mbele ya kifo.
 
Kitu chenye maana una kipimaje ? Hivi hizi akili huwa mnazitumia kwenye nini ? Yaani unahitimisha ya kuwa maisha hayana maana kwa kifo wakati kifo ndiyo kinaonyesha maana halisi ya kifo.
Kitu chenye maana kinapimwa kwa maana yake, maisha yangekuwa na maana Kama yangedumu,

Unajenga nyumba kwa kujinyima kiugumu , halafu baada ya Miaka 40 inakuja kukaliwa na watu ambao hata hawakujui kwa mikataba pengine nje kabisa na maono yako.
 
Mbona unachanganya mambo mengi sana!??? 1. God exists 2. Satan exists 3. Sin exists 4. Final punishment is real 5. Heaven is real
 
Kitu chenye maana kinapimwa kwa maana yake, maisha yangekuwa na maana Kama yangedumu,

Unajenga nyumba kwa kujinyima kiugumu , halafu baada ya Miaka 40 inakuja kukaliwa na watu ambao hata hawakujui kwa mikataba pengine nje kabisa na maono yako.
Maisha yangedumu angalau hapa duniani kama Hawa asingefanya zile figisu zake kwenye Bustani ya Edeni
 
If you believed in God, ungeona mantiki japo ya kuzaliwa tu na kuwa one of His numerous creatures
 
Mambo matatu tu
1. ikiwa nitakufa alfajiri basi nizikwe saa saba mchana, maiti yangu isimalize masaa 24 bila kuzikwa
2.Asisubiriwe yoyote kwenye mazishi yangu
3.Nisizikwe na jeneza wala kitu chochote Cha thamani nizikwe na sanda tu.
Unaamua sasa, lakini ukienda maamuzi yanakuwa yetu. Kwani inakuhusu nini, kwamba tusipofanya kama ulivyosema unakereka, au!???
 
Pumbavu tu..



😇😇😇😇😇😇😇
 
Ninawashangaa sababu ukisha kufa hauna chako dunian tutakuzika tunavyotaka tuna imani na mila zetu kama waafrika.Pekee kinachotiliwa maanani ukifa ni mgawanyo wa Mali hasa kama umeandiaka WOSIA.Vinginevyo tunautafuna mpunga na vinywaji kedekede kama ulivyokula vya wenzako, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…