Siku ya HUKUMU... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku ya HUKUMU...

Discussion in 'Jamii Photos' started by Wilbert1974, Sep 29, 2012.

 1. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  mxcpAUN8Q4.jpeg
  Hii nayo ni kiboko, jamaa anahukumu kwa kunyeshwa manyonyo...
   
 2. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Hivi kwa nini watu wa imani inayoendana na hii staili nao wasiwe wanafanya maandamano ... kwenda kufunga balozi za nchi fulani? ... na kutoa zawadi ya fedha kwa atakaekikata kichwa cha jamaa!

  Ingekuwa ni ule mtaa mwingine ... nafikiri watu wengi mpaka sasa wangekuwa tayari wameshapoteza maisha duniani kote!!.

  ... au kwao huwa haihuu?! ...
  .
   
 3. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Hii picha peke yake tosha wangeandamana wakati hata Sura zao hatuzijui wala huko wendako hatupajui na lini watarudi
  Ila atakayerudi wanaamini ni huyo kwenye picha na YU HAI ila atakuja kwa Imani ingine na ataoa du kz kwelikweli
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mkuu Dotworld mbona unaficha sema wazi ingelikuwa kwa wavaa kanzu?????????????? maliza mwenyewe..........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #5
  Oct 1, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mtauana kwa imani zenu za kitumwa mi mpogoro wa mahenge kwetu kijijini ulanga yanapotpka madini ya ulanga.
   
 6. M

  M-Joka JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2012
  Joined: Dec 13, 2007
  Messages: 308
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hebu jiulize,

  1. Huyu jamaa ni muislamu?
  2. Je umewahi kumuona muislamu yeyote akimkashifu yeyote, Yesu, Moses, au religeous figure yeyote?
  3. Kama unafikiri sawasawa, je inakuambia nini wewe kuona wanaojiita christians, yaani "christ-ians", kwa maana wafuasi wa "christ", ambao miongoni mwao wengine wamefikia hata kumfanya kuwa Mungu na kumuabudu, halafu wamkashifu namna hii?? wengine wanam-depict kwamba anahukuma kwa kuona matiti ya wanawake, wengine kina Elton John wanasema alikuwa homosexual (auudhubillahi). Je Umewahi kumsikia muislamu gani akamsema Yesu namna hii?
  4. Kama waislamu hawakashifu Mitume, Manabii, other religeous figure namna hii, nini inakuambia katika akili yako kuhusiana na wanavyolichulia (consider) suala zima la kukashifu watu hawa?
  5. Kama hawafanyi kwa wengine, je nini inakuambia wewe kuhusiana na mapenzi na imani yao kwa Mtume wao, Muhammad (SAW) na athari wanayoipta anapokashifiwa (slander)bila ya sababu na kwa kashfa za uongo?
  5. Je, kwa mtazamo wako, ni nini hasa kinachowafanya hao wanaowachokoza waislamu kwa kumkashifu Mtume wao Muhammad (SAW), kufanya hivyo?
  6. Mwisho, je unajua tofauti ya makafiri na wakristo? yaani unajua kuwatofautisha makafiri katika kundi lenu la wastani wa 1.6 billion christ-ians ulimwenguni? Au nyote ni sawa tu? Kama ipo tofauti, wewe upo kundi gani?
   
 7. Soraya

  Soraya JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Mapepo bwana!
   
Loading...