fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,656
- 7,258
Leo ni siku ya hedhi salama,tusaidie kulinda binti zetu,wake zetu,dada zetu,mama zetu na shangazi zetu
Siku ya Hedhi Salama huadhimishwa ikiwa na lengo la kuleta pamoja sauti za wadau mbalimbali ili kuhamasisha Hedhi salama kwa Wasichana na WanawakeLeo ni siku ya hedhi salama,tusaidie kulinda binti zetu,wake zetu,dada zetu,mama zetu na shangazi zetu