Siku ya Harusi

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,067
Reaction score
54,130
Maalim Seif baada ya kuamua kukubali matokeo,

 
Alichoka que za foleni barabarani akaona ni vizuri awe anapita kwa ving'ola na askari wakimsafishia njia.
 
Anakula bata vijana wa Stone Town ambako ni Ngome ya CUF wapo wapo tu hawana mbele wala nyuma...
Sasa ulitegemea wapate vya bure?Na bado njaa itawauwa.Hizo ndo siasa za bongo za kila mto atalijali tumbo lake sorry atabeba mzigo wake mwenyewe///
 
Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa. Shida na tabu zimemuishia. Anakula kilainiiiiiiiiiiii no makelele na kuwakiwa na jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…