Siku ya birthday yangu

Siku ya birthday yangu

gemmy sikuwa na wazo la mwenzetu huyu nilimwish yule tajiri bill gates
kumbe na huyu ni siku spesheli kwake Mungu ampe afya njema na akue na kuongezeka kwa kimo
Happy birthdate mkuu Mungu akupe hitaji la moyo wako
ladyfurahia aliandika uzi asubuhi mimi nilijua anakuzungumzia wewe?
 
Happy birthday mkuu mungu akuzidishie maisha marefu
 
Leo ni siku kuu kwangu mimi so nawaakaribisha ndugu wana MMU na wana JF kwa ujumla kunitakia birthday njema. Nawapendeni sana wanafamilia ya Great Thinker forum.

Wow , happy birthday dear mungu akuongoze maishani mwako, Amen. Ninakutakia more blessing years to come. Thanks.
 
Leo ni siku kuu kwangu mimi so nawaakaribisha ndugu wana MMU na wana JF kwa ujumla kunitakia birthday njema. Nawapendeni sana wanafamilia ya Great Thinker forum.

Siku ya birthday yako ni lugha gani mkuu😕😕
Nakutakia miaka mingi yenye furaha amani na busara..ubarikiwe
 
HBD Billie we me or ke, jina linachanganya.
 
Back
Top Bottom