special agent
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 325
- 74
sijui ina maana gani kwangu nilikuwa kwenye shida sana lakini tarehe hii nimepata milioni 10 thanx god watu wa tarehe ebu tuelezeni nini kipo nyuma ya tarehe hii japokuwa haitajirudia milele
ok wengi wanasema nitoe ten percent sasa sijui nimpe nana? Ila nittatoa laki moja yaani one percent badala ya milion moja ambayo ni ten percent thanx God