Mnavyotuonesha mkiwakamata watuhumiwa mtuoneshe pia wakiwa wanahukumiwa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,929
23,366
Yaani siku mkipenyezewa taarifa kuna mhalifu haraka ma tv mshajaza, magazetini nk.

Siku wanahukumiwa mtuonyeshe pia hizo adhabu na somo zaidi ya kutuonyesha pale mnapomkamata mtuhumiwa.

Nilishtuka mkoa mmoja polisi mkubwa anasema wabakaji wanaachiwa ama wanashinda kesi kutokana na mashahidi kugoma kutoa ushahidi.

Sasa wanagoma huyo mbakaji kajileta mwenyewe anyway.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom