Siku Vijana Watakapowageuka CHADEMA.

Siku Vijana Watakapowageuka CHADEMA.

Si kwa vijana tu hata kwa wazee, itakuwa ni mbaya kuliko inavyofikirika, matarajio ya wengi ni maisha bora kuliko ilivyo leo. Maskini ya mungu! wangejua kwenye hilo kundi wenye uchungu na nchi hii ni 1 ama 2 tu wengine ni WASANII.
 
Nimekuwa mtu ninayepinga ukuaji wa umaarufu na kukubalka kwa chadema kutokana na udhaifu wa chama tawala.

Nimekuwa nikijaribu kuishawishi chadema kuwashawishi vijana hata kama chama tawala kitatekeleza matakwa na matarajio ya watanzania kupitia uenezi wa sera na mwelekeo.

Ninawaza siku Vijana wa kitanzania watakapowageuka chadema na viongozi wake.

Unajadili kugeukwa hata kabla hawajaingia ikulu? vuta subira mkuu!
 
He!!!?,kumbe ni ndoto!!?sasa kwa nini unatupotezea muda kujadili ndoto?

Haujui thamani ya ndoto (DREAMS) ndo maana unaongea hivyo. Nenda kasome vitabu na majarida ya watu wenye mafanikio zaidi yako watakueleza thamani ya ndoto.
 
Usiwe na mawazo mgando yasiyosoma alama za nyakati,hao vijana unaowazungumzia unadhani hawajachoshwa na maovu ya nyinyi M? hawaoni mama zao,wake zao watoto,wazee wanavyoteseka na sera za maisha bora kwa kila mtanzania?na vijana hao hao wananyanyasika kwa kukosa ajira na kuteseka katika viwanda vya wadosi huku wakikosa haki zao,na kama ikitokea wakalipwa ni kidogo kisicholingana na kazi wanazofanya tena bila safety yoyote.Wewe ni aina gani ya mtu mwenye moyo mgumu usie kuwa huruma hata kama una maisha bora.Fikiria NDUGUZO.Tunahitaji mabadiliko.
 
1. Ulitaka niongelee yapi? Au unanifundisha cha kuongea?
2. Inasikitisha au inahamasisha jitihada zaidi?
3. Hayafai kwa nini?
4.
Define why this you think (may be b'se of your dwarf mind) is a bogus news.[/QUOTE]

Ndio nini hiyo nyeusi?
 
....unazungumzia vijana gani hapa...
1.wa watoto wa vigogo wanaosubiri rithi vyeo vya baba zao serkalini? Au
2.wapambanaji mtaani wasioijua hata kesho yao.!?....
 
Nimekuwa mtu ninayepinga ukuaji wa umaarufu na kukubalka kwa chadema kutokana na udhaifu wa chama tawala.

Nimekuwa nikijaribu kuishawishi chadema kuwashawishi vijana hata kama chama tawala kitatekeleza matakwa na matarajio ya watanzania kupitia uenezi wa sera na mwelekeo.

Ninawaza siku Vijana wa kitanzania watakapowageuka chadema na viongozi wake.

Saa ya ukombozi ni sasa.Hageuki mtu hapa.
 
Hapo kwenye nyekundu WENGI NI WAFUATA MKUMBO, wakighafilika kutokana na madhila yaliyoletwa na ccm pasi kujua hata mwelekeo na katba ya chadema

Hembu tujuze ni nani anafahamu mwelekeo na katiba ya ccm?
 
1. Ulitaka niongelee yapi? Au unanifundisha cha kuongea?
2. Inasikitisha au inahamasisha jitihada zaidi?
3. Hayafai kwa nini?
4. Define why this you think (may be b'se of your dwarf mind) is a bogus news.

English please! Kweli hasira noma!
 
Nimekuwa mtu ninayepinga ukuaji wa umaarufu na kukubalka kwa chadema kutokana na udhaifu wa chama tawala.

Nimekuwa nikijaribu kuishawishi chadema kuwashawishi vijana hata kama chama tawala kitatekeleza matakwa na matarajio ya watanzania kupitia uenezi wa sera na mwelekeo.

Ninawaza siku Vijana wa kitanzania watakapowageuka chadema na viongozi wake.

Mtoa mada, utaitwa gamba, mwehu, matusi juu yako, nk. lakini huo utabaki kuwa ukweli, na hauwezi pingika kamwe. Kupingana na ukweli ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu!
HISIA zetu leo ndizo zifanyazo tukurupuke na kushadadia mambo pasi kuhoji. Ukitaka kuamini hilo, kaa chini muhoji mtu anayeipigia chapuo chdm kwanini anafanya hivyo, atakwambia ccm ni cha mafisadi, muulize ana hakika gani chadema haipo kama ccm, atajibu "WAMESEMA" alafu si unamuona Lema, Zitto, Mbowe, nk bungeni wanavyopinga ufisadi, (amesahau kuwa kuna political interest za kila chama), ataendelea kudai bila wao Richmond, EPA, Kiwira tusingejua.
Endelea kumuuliza, anafahamu sera na falsafa za Chdm, je zina utofauti upi na zile za mafisadi ccm na kwanini anaziamini katka kumpigania mtz, atakujibu "nguvu ya umma" ukiendelea kumuuliza ni ipi, atajibu ni kushiriki kwenye mikutano ya siasa vidole viwili juu kuiondoa ccm.
Sioni mantiki ya kushadadia vyama vya siasa, iwe ccm au cdm wote sawa tu. Ndicho tunachokitaka hicho eti Demokrasia, mi napendekeza iitwe Domokrasia, ikimaanisha domo la mtu ili kupata ulaji.
Mungu wetu anaita!
 
Mkuu leroy kuna hoja ya msingi hapa.

Vijana huwa wana mategemeo makubwa. Kumbukumbu zinaonyesha kwamba vijana walikuwa wakishangilia sana wakati Rais JK anaingia madarakani. Walimpigia kura wakidhani sasa ni wakati wa vijana kutesa, waliona vijiwe sasa kwaheri wanaenda kupata wote kazi njema zinazolipa huko maofisini.

JK alianza kwa kutembelea wizara na kuna muda alikuwa anatembea toka wizara moja kwenda nyingine akiwa analakiwa kwa nderemo na vifijo vya vijana waliokuwa wakijipanga kumuona mkombozi wao. Baada ya kuona matokeo si sawa na matarajio yao basi wamejikita CDM wakitegemea hali bora toka huko.

Hakika CDM ina vijana kila kona na wote wanaitimbulia macho CDM iingie ikulu iwaokoe na hali duni. Hivyo CDM kama hawatafikia matarajio ya vij

BWANA MDOGO TAFADHALI KUWA HURU KIMAWAZO,HATA KAMA UTAKUWA MLEI WA CHAMA FULANI HUNA BUDI KUFANYA UCHAMBUZI WA MASUALA MBALIMBALI KUHUSU CHAMA CHAKO.USIJE KUPENDA KITU BILA KUKIJUA VIZURI MAANA KUFANYA HIVYO NI SAWA NA KUJISHONEA SANDA NA KUJICHIMBIA KABURI
 
watu walichoka CCM wakahamia NCCR-MAGEUZI ( sio hii NCCR) , then wakahamia CUF now CHADEMA,

Je unachama, mbadala wa CHADEMA ? au ndio kile chenye bendera kama ya CHADEMA?
 
Siku vijana watakapoigeuka chadema ccm haitakuwepo itakuwa ishazikwa.
 
napiga mluzi tu wa ile tune maarufu ya ule wimbo wa ukombozi, Chadema Chadema, peoples power! Dah nayaona maisha ktk mwanga bora mnooo!
 
Nimekuwa mtu ninayepinga ukuaji wa umaarufu na kukubalka kwa chadema kutokana na udhaifu wa chama tawala.

Nimekuwa nikijaribu kuishawishi chadema kuwashawishi vijana hata kama chama tawala kitatekeleza matakwa na matarajio ya watanzania kupitia uenezi wa sera na mwelekeo.

Ninawaza siku Vijana wa kitanzania watakapowageuka chadema na viongozi wake.

Ndugu suala kuu siyo CHADEMA suala ni maendeleo ya Taifa letu. Vijana kama wataigeuka cdm kama itashindwa au itakuwa imeacha itikadi yake ya maendeleo na kuwa kama ccm inavyo fanya sasa mimi sitaona ajabu bali ni jambo jema kwani watakuwa wameamua kupanda gari/bus jingine litakalowafikisha wanakotaka wafike.

Shida yako ni kuwa inakuuma sana vijana kuitosa ccm ambalo kwangu ni jambo jema sana kuitosa ccm maana tangu vyama vingi vianze sijawahi kuiona ccm kama inatufikisha tunakotaka. Hivi wewe umeona wapi Rais wa nchi anawasamehe mijizi wa EPA hivihivi tu we mwenyewe haikupi shida hiyo, na si hilo tu angalia hata uteuzi wake na wafanyao maovu ndani ya serikali rais haonyeshi kuwa serious na nchi yetu.

Sasa why vijana wasiitose ccm na kugeukia tumaini jipya? Kwa taarifa yako sasa si vijana tu wanaoitosa ccm bali watoto, akina mama (wanawake), wazee kwa wingi wao mjini, mashamabini, maofisini mitaani kila mahali wanaitosa ccm na serikali ya JK wengine kwa uwazi na wengine kimyakimya wakinunua kadi za cdm na wengine wakingoja tu kupiga kura ndo utajua kumbe si vijana tu bali watanzania wameitosa ccm siku nyingi. We baki tu kama mwenzio Nape kakalia kujifariji eti hata wote wakiondoka ccm akabaki yeye pekee yake ccm itaendelea kuwa na nguvu hivi huyo ndo ccm inamtegemea kuwa katibu wa uenezi na proganda...poleni sana..ngoja niishie tu hapa maana kimbunga kinakuja hamtaamini macho yenu, masikio yenu na akili zenu....ccm bye bye
 
Mimi katika vyote vinavyonichafua katika chama hichi tunachokishabikia ni hii sera za majimbo.Hakika kwa nchi yenye watu wengi na makabila mengi kama Tanzania itakuwa ni janga la kitaifa.
 
Nimekuwa mtu ninayepinga ukuaji wa umaarufu na kukubalka kwa chadema kutokana na udhaifu wa chama tawala.

Nimekuwa nikijaribu kuishawishi chadema kuwashawishi vijana hata kama chama tawala kitatekeleza matakwa na matarajio ya watanzania kupitia uenezi wa sera na mwelekeo.

Ninawaza siku Vijana wa kitanzania watakapowageuka chadema na viongozi wake.

Mkuu leroy kuna hoja ya msingi hapa.

Vijana huwa wana mategemeo makubwa. Kumbukumbu zinaonyesha kwamba vijana walikuwa wakishangilia sana wakati Rais JK anaingia madarakani. Walimpigia kura wakidhani sasa ni wakati wa vijana kutesa, waliona vijiwe sasa kwaheri wanaenda kupata wote kazi njema zinazolipa huko maofisini.

JK alianza kwa kutembelea wizara na kuna muda alikuwa anatembea toka wizara moja kwenda nyingine akiwa analakiwa kwa nderemo na vifijo vya vijana waliokuwa wakijipanga kumuona mkombozi wao. Baada ya kuona matokeo si sawa na matarajio yao basi wamejikita CDM wakitegemea hali bora toka huko.

Hakika CDM ina vijana kila kona na wote wanaitimbulia macho CDM iingie ikulu iwaokoe na hali duni. Hivyo CDM kama hawatafikia matarajio ya vijana basi vijana hao hao ndio watawageuka tena na kutafuta mbadala. CDM inabidi ijipange kutekeleza matarajio ya vijana

Leroy na Kimbunga

siku za karibuni mbunge msigwa wa chadema alikuwa akitoa hotuba huko kwao, alizungumza sana umuhimu wa watu kufanya kazi na akawapa mbinu mbalimbali za wao kujikomboa

That was perfect example of a leader na sio kutoa matumaini kana kwamba chadema ikishika nchi, mabomba yatoa maziwa na that is a bomb!
 
Back
Top Bottom