Siku ukifa nani atawapa class, college mates wako taarifa?

Siku ukifa nani atawapa class, college mates wako taarifa?

Wakipewa taarifa itasaidia nini?? Mimi binafsi naamini siku nitakayo vuta pumzi ya mwisho huo ndio mwisho wangu (The End), mambo ya kutoa taarifa, kunililia, kuniombea n.k yatabaki kwa niliowaacha, ila kwangu ndio mwisho hiyo lolote litakalofanywa baada ya hapo kuhusu mimi litakuwa halina maana na wala halinihusu tena
 
Umehoji kuhusu Classmate.. ila kuna ndugu wa mbali, marafik wa mbali , na ambao mliwah fanya kaz pamoja nk nk. Watapataje taarifa?.

Hapa ndio unaona umuhimu wa Social networking. Au kujamiiana (interaction )
Kuna watu hiki kipande hawajakipa kipaumbele coz ya haiba yao ila ni Cha muhimu sana kwenye haya maisha.

Mtu unaweza kufanya social networking kwenye mitandao ya jamii. Kuwa na magroup tofaut tofauti kwa whatsapp, kupigiana simu nk nk

Mwez Jan 2025, nimepigiwa simu namba ya Mzee mmoja (ana tender ofisinin kwetu na mm ndio msimamizi kila mara akija kutoa hiyo huduma) ila aliyepiga this time ni mtoto wake na ni kunitaarifu kuwa mzee Yule amefariki na namba Yangu kaipata kwenye Diary ya mzee.

Hapa Nikaona ni jinsi gan mzee yuko smart kuandika kwa diary namba za watu anaowasiliana nao either kwa manufaa ya biashara zake au kindugu. Nina uhakika hata kama ana watoto nje atakuwa ameorodhesha na wosia kaacha.

RIP mzee Lugano, nimejifunza kitu kutoka kwako.

Na mfano ukiingia Insta au facebook, ukafollow akaunt ya marehemu, utaona List ya friends zake, ambao unaweza Dm kuwa "nimeona uko friends na Flan, mm ni flan wa (jina la marehemu) na flan amefariki na ukaacha na details nyingne,"
Na kama kuna msaada unahitaj utasema pia na ujumbe utawafikia wahusika.

Kipengele ni pale ambapo marehemu ni anti-social networking. Unaishi na huna haja ya kujamiiana.
 
Yaan mtu mzima eti classmates at least wana ndugu watu mnahold makundi ya ajabu yasio na vision sasa ww form 3456 chuo wana impact gan na maisha yako au ndo simunzenu mafroup tokea primary mpk chuo simu iko bussy kama server za tanesco aatu walioachana totally washable adapt new environments ww kujipa umuhimu usiokuwa nao
Mkuu unaongea kama vile maisha umeyapatia katika maisha kuna kitu kinaitwa kujamiana. Na kujamiana sio lazima uwe na magroup hayo yte ukiwa na moja ambayo unaona linakufaa linatosha. Kila mtu anagroup kulingana na mazingira yake.
Kwa comment hii inaonesha ni jinsi gani ulivyombinafsi
 
Wakipewa taarifa itasaidia nini?? Mimi binafsi naamini siku nitakayo vuta pumzi ya mwisho huo ndio mwisho wangu (The End), mambo ya kutoa taarifa, kunililia, kuniombea n.k yatabaki kwa niliowaacha, ila kwangu ndio mwisho hiyo lolote litakalofanywa baada ya hapo kuhusu mimi litakuwa halina maana na wala halinihusu tena
 
Umehoji kuhusu Classmate.. ila kuna ndugu wa mbali, marafik wa mbali , na ambao mliwah fanya kaz pamoja nk nk. Watapataje taarifa?.

Hapa ndio unaona umuhimu wa Social networking. Au kujamiiana (interaction )
Kuna watu hiki kipande hawajakipa kipaumbele coz ya haiba yao ila ni Cha muhimu sana kwenye haya maisha.

Mtu unaweza kufanya social networking kwenye mitandao ya jamii. Kuwa na magroup tofaut tofauti kwa whatsapp, kupigiana simu nk nk

Mwez Jan 2025, nimepigiwa simu namba ya Mzee mmoja (ana tender ofisinin kwetu na mm ndio msimamizi kila mara akija kutoa hiyo huduma) ila aliyepiga this time ni mtoto wake na ni kunitaarifu kuwa mzee Yule amefariki na namba Yangu kaipata kwenye Diary ya mzee.

Hapa Nikaona ni jinsi gan mzee yuko smart kuandika kwa diary namba za watu anaowasiliana nao either kwa manufaa ya biashara zake au kindugu. Nina uhakika hata kama ana watoto nje atakuwa ameorodhesha na wosia kaacha.

RIP mzee Lugano, nimejifunza kitu kutoka kwako.
Ndio sio tu class mates lakini point ni unaacha alama gani kwa jamii unayojamiana nayo.
Japo kuna watu hawataki shobo na watu kama hawa hata vikundi vingi wanaleft tu na hawataki kujumuika hata kwenye shuguli za kijamii.
 
Duniani tunaishi tunaishia.
College mate wangu ametuacha mapema saana taarifa tumezipata kwenye group la chuo miezi mitatu toka kufariki kwake na ndipo tukajichanga kwenda kumfariji mjane.

Na hapa ndipo wazo likaniijia dunia ya sasa watu tuna makundi mengi ya kufarijiana katika matatizo mbalimbali na katika raha pia tukianzia na wale tuliosoma nao primary,sekondari,chuo wale tuliotoka mtaa/kijiji kimoja makundi ya kazini na tumeunganishwa kwa mitandao ya kijamii hasa whatsup. Tunachangiana harusi, misiba na magonjwa

Sasa jiulize je?, Unaokaa nao wanajua makundi uliyojiunga hata likitokea la kutokea wanaweza kutoa taarifa huko?

Au ndio tunaogopa kuwapa wake/waume zenu access ya kujua sim yako na makundi uliyojiunga yenye faida kwako?
Majority ni helpless, ukitaka kujua kama wana thamani uuguliwe au kuugua halafu subiri wauguliwe au kuugua you will see the difference and essence of having them
 
Ungetakiwa kujiuliza (wewe) siku nikifa nani atanitolea taarifa. Sasa umewauliza watu wengine utafikiri utakufa nao mkuu.
inasaodia kubadiloshwa utambulisho wako kwa mfano JF wakijua umekufa juu ya iD yako wanaweka RIP
 
Duniani tunaishi tunaishia.
College mate wangu ametuacha mapema saana taarifa tumezipata kwenye group la chuo miezi mitatu toka kufariki kwake na ndipo tukajichanga kwenda kumfariji mjane.
Kwamba huyo marehemu hakuwa na rafiki hata mmoja toka chuo darasani kwenu, Ambaye, kama hawajaongea hata wiki moja ama mbili atataka kujua kulikoni?
 
Back
Top Bottom