Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 878
FIELDO= FIELDBaada ya serikali kusogeza wiki 2 mbele za kuanza field, ratiba yangu inaonesha jumatatu tarehe 8/8/2016 natakiwa nianze field . Lakini maajabu mpaka sasa hivi nipo nyumbani, sijakata hata tiketi ya kwenda dodoma kwasababu ela hakuna.
Msimamo wangu :Sitaenda field mpaka akaunti isome 620000/=.Over
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]FIELDO= FIELD
Mkuu unasoma chuo gani? Hakika watoto wetu watakuwa na shida sana.
Pesa inaingia mkuu kabla ya tareh 8,na kuna baadhi imeingia jana.. Vuta subiraBaada ya serikali kusogeza wiki 2 mbele za kuanza field, ratiba yangu inaonesha jumatatu tarehe 8/8/2016 natakiwa nianze field . Lakini maajabu mpaka sasa hivi nipo nyumbani, sijakata hata tiketi ya kwenda dodoma kwasababu ela hakuna.
Msimamo wangu :Sitaenda field mpaka akaunti isome 620000/=.Over
Kaa nyumbani msaidie mama kukanda unga wa mikate na kusafisha banda la kuku.Baada ya serikali kusogeza wiki 2 mbele za kuanza field, ratiba yangu inaonesha jumatatu tarehe 8/8/2016 natakiwa nianze field . Lakini maajabu mpaka sasa hivi nipo nyumbani, sijakata hata tiketi ya kwenda dodoma kwasababu ela hakuna.
Msimamo wangu :Sitaenda field mpaka akaunti isome 620000/=.Over
Ela-hela
Sio jumatatu-Jumatatu
Sio dodoma -Dodoma
Ndalichako, usimpe huyu mtu pesa, arudi darasa la pili ajifunze vizuri mwandiko[ mkuu msamehe bure maana amepaniki
[emoji3][emoji3][emoji3]Teh Teh Teh Teh Teh vijana wa st. Joseph university wasumbufu sanaa asee
Kumbe hawana pesa wamemkata jamaa mmoja kazini masikini kumbe hata chuo hakusoma na anasemekana anadaiwa zaidi ya mil 8 basi kawaka mana anamkopo kazini basi kawaka leo mpaka hurumaMwaka huu kimbembe, bodi ya Mikopo imesema haina pesa na wataingiza pesa nusu nusu.
NAMBA TUNAISOMA TARATBU
Yaani ni shida, kila siku kalenda kutoka tarh 25.07.2016 mpaka leo, field haielewekKumbe hawana pesa wamemkata jamaa mmoja kazini masikini kumbe hata chuo hakusoma na anasemekana anadaiwa zaidi ya mil 8 basi kawaka mana anamkopo kazini basi kawaka leo mpaka huruma
PoleYaani ni shida, kila siku kalenda kutoka tarh 25.07.2016 mpaka leo, field haielewek
Shukran, mtu nafsi haitulii hadi raha ya kwenda kujituma field imepotea yote, kila siku taarfa mpya.Pole