Siku saba za dr slaa

Huyu Ridhiwani alishaulizwa na mwandishi mmoja vipi ile kesi ya Dr Slaa ulisema utafungua baada ya siku saba? Majibu yake ilikuwa, wewe mwandishi vipi? haya ni mambo ya maisha yangu na sio ya waandishi wa habari. Sasa linishangaa kama ni mambo yake ilikuwaje akawaita waandishi wa habari siku ile na kutoa siku saba.

Pia juzi juzi hapa Dr Slaa kasema huyu ni kijani mdogo, aende mahakama. Lakini cha kushangaa bado hajaenda mpaka leo.

My take: Jamaa ni Fisadi kwa hiyo anaogopa akienda tu mahakamani ataumbuka kwani issues zake nyingi zitawekwa wazi. Hii pia inaweza ikaleta adhari kubwa kwa baba yake. Maana mzee anaweza akatakiwa na mahakama kwenda kutoa ushahidi.
 
huyu ridhiwani alishaulizwa na mwandishi mmoja vipi ile kesi ya dr slaa ulisema utafungua baada ya siku saba? Majibu yake ilikuwa, wewe mwandishi vipi? Haya ni mambo ya maisha yangu na sio ya waandishi wa habari. Sasa linishangaa kama ni mambo yake ilikuwaje akawaita waandishi wa habari siku ile na kutoa siku saba.

pia juzi juzi hapa dr slaa kasema huyu ni kijani mdogo, aende mahakama. Lakini cha kushangaa bado hajaenda mpaka leo.

my take: Jamaa ni fisadi kwa hiyo anaogopa akienda tu mahakamani ataumbuka kwani issues zake nyingi zitawekwa wazi. Hii pia inaweza ikaleta adhari kubwa kwa baba yake. Maana mzee anaweza akatakiwa na mahakama kwenda kutoa ushahidi.
badala yake dr. Hawezi kumfungulia mashtaka huyu riz1
 
Back
Top Bottom