Siku Rais Magufuli anastaafu urais, itakuwa sherehe kubwa kwa Mafisadi

Mahakama ya mafisadi imekufa kifo cha mende baada ya kubainika wateja wakuu ni ccm na sio wapinzani.
 
Of course si hao tu mafisadi hewa ambao hawaonekani, hata sisi watumishi wa umma siku hiyo tutafanya sherehe za kufa mtu anatunyanyasa sana, kawaonea wafanyakazi wenzetu eti walifoji vyeti wakati bashite aliyefoji anamkumbatia, kila siku anatuahidi kuongeza mishahara hewa, hakuna kupanda madaraja, tutamuomba rais atakayeingia siku hiyo iwe holiday ya kukumbuka mateso tuliyopata wafanyakazi.
duuh
 
Back
Top Bottom