Kesi ya msingi ni ipi ugaidi, uhujumu uchumi,au ujambazi mbona kina kingai hamueleweki.Kwani kesi ya mbowe inasomwa mahakama ipi??
Unafikiri kuwa fisadi ni rahisi kama kukata mauno lumumba? Jaribu na wew kama utawezaYaani wanajiachia mpaka wanakufuru
duuhOf course si hao tu mafisadi hewa ambao hawaonekani, hata sisi watumishi wa umma siku hiyo tutafanya sherehe za kufa mtu anatunyanyasa sana, kawaonea wafanyakazi wenzetu eti walifoji vyeti wakati bashite aliyefoji anamkumbatia, kila siku anatuahidi kuongeza mishahara hewa, hakuna kupanda madaraja, tutamuomba rais atakayeingia siku hiyo iwe holiday ya kukumbuka mateso tuliyopata wafanyakazi.