Natamani huyu mwandishi anifunze jinsi ya kutunza rekodi za kila siku,wachache sana wanaweza
Naeza kupa formula ya hilo
Natamani huyu mwandishi anifunze jinsi ya kutunza rekodi za kila siku,wachache sana wanaweza
Ahmed Rajabu kwako Nyerere naona ni zaidi ya nightmare! !
Huiishi kumpiga vijembe, sasa yeye hayupo hapa kujitetea, tutakuamini vipi kwa hizi makala zako? Kwanini hukusema haya angalipo hai naye akujibu? ?
Nadhani huu si uungwana!
Ahmed Rajabu na Mohamed Said ni mapacha.
Ukizisoma makala zao juu ya,
1.Harakati za ukombozi wa Tanganyika.
2.Mzozo wa Middle East.
3.Mapinduzi ya Zanzibar.
4.Nyerere na uislamu.
Utakubaliana na mimi ni kama madrasa walisoma Chuo kimoja.
Na huwa wakomaa na dark side tu ya Nyerere.
hata sura wanafanana
kazi ya google hiyoWeka picha zao nione.
Kwa hiyo mwandishi anaungana na Tundu LIssu "kumtukana" Mwalimu!
Natamani huyu mwandishi anifunze jinsi ya kutunza rekodi za kila siku,wachache sana wanaweza
Kweli. Si unamuona huyu wa sasa. Kucheka cheka tu akidhani atamfurahisha kila mtu matokeo yake urais umeshuka hadhi naye anaonekana dhaifu tu. Eti rais mzima analalamika tena kwenye hotuba kwa taifa lake. Hovyo kabisa!Nimejifunza kitu ukiwa kiongoz kuna muda unabid uwe dikteka usipofanya hivyo hautaeshimika. ahsante sana.