Siku Nyerere alipotishia kunichapa


Ahmed Rajabu na Mohamed Said ni mapacha.

Ukizisoma makala zao juu ya,

1.Harakati za ukombozi wa Tanganyika.
2.Mzozo wa Middle East.
3.Mapinduzi ya Zanzibar.
4.Nyerere na uislamu.

Utakubaliana na mimi ni kama madrasa walisoma Chuo kimoja.

Na huwa wakomaa na dark side tu ya Nyerere.

Ni kweli mapacha maana wanawapa dozi za kweli na kunyoosha yalle yaliopindishwaaa
 
Back
Top Bottom