Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,345
- 10,841
Nawashangaa Sana Watu ambao ..mmeshaachana Eti wanataka kukurusha ROHo...naonaga Kama Ni Uzwazwa...Wala sio wivu..ni yeye anahangaika tu...unamtumiaje mtu picha uko unakula breakfast asubuh asubuh hotelin...x wako
Sina number ya EX... Nakama akinitafuta nikajua Ni EX..ANAKULA BLOCK..
SIWEZI Risk Mahusiano yangu coz ya UPUMBAFU.