(Hapo ndipo nilichomoka kama risasi sikumbuki kama ngazi nilikanyaga maana nilipita kwenye ngazi kama na slide hadi chini nikavaa vizuri na kuondoka, nikawakuta wale vijana wapo! ikabidi niwaulize vipi mnamfaham huyu mama niliekuwa nae pale!)
Hii mistari imenichekesha sana