Siku nilipoopoa Jike-dume

Jike dume hua na matiti na uume tu hizo habari za kua na jinsia mbili kwa wakati mmoja ni za kufikirika sababu pale panapotakiwa kua na uke ndo hua uume
Mkuu hao watu wapo kuna kijana nakaa nae home ni jinsia 2, ingawa mtoa uzi katushika masikio kuhusu kupotea kwa waliokuwa wakidanga na huyo boss
 
Kwaio unategemea mimi nisome yote hayo kweliii
 
Mkuu hao watu wapo kuna kijana nakaa nae home ni jinsia 2, ingawa mtoa uzi katushika masikio kuhusu kupotea kwa waliokuwa wakidanga na huyo boss
Ana behave vp? Kwa muonekano ni mwanamke au mwanaume??
 
Na uzoefu wangu bado hili halijawahi kunipata. Kumbe nina kazi ya kufanya.
 
Naona watu mnakataa kua hakuna jinsia mbili, wakati juzi tu apa kuna mama kampeleka mtoto wake muhimbili ili asaidiwe kufanyiwa operation atolewe jinsia moja kulingana na homon alizo nazo mtoto wake.
 
Huwa ni mtihani mkubwa sana unapokutana na ke/me ktk s.ex kwa mara ya kwanza,unakuwa na maswali mengi kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…