Siku nilipoomba Namba ya mrembo wa Kichina...!

Siku nilipoomba Namba ya mrembo wa Kichina...!

Mlaleo

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
16,382
Reaction score
13,194
Mambo yalikuwa hivi

Mlaleo Hi ... Nihao

Mchina Akajibu hi..

Nikamuambia can i have your Number...!

Akaniambia "Sex! Sex! Sex! Free sex tonight!" Niakasema , "Wow! free sex?" Ndipo rafiki yake akananiambia anamaanisha, " 6663629." (Six, six, six, three, six, two, nine) kudadadeki...

Ilinibidi Nicheke kwa Furaha....

Aeee Mama we.... Ingekuwa wewe Ungefanyaje....!
 
yani huyu jamaa awe muongo au mkweli nimejikuta nimecheka mwenyewe bila kupenda.
Ni kama wiki imepita yalitokea mazingira ambayo dada wa kichina alipaswa kunipa namba yake ya simu, kwa kweli sikuelewa alivyotamka hizo namba kwa kingereza chake ikabidi nimpe kalamu na karatasi akaandika ndiyo nikamuelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom