Siku nilipolazimika kutumia silaha

Ilibidi upasue kichwa cha muhuni mmoja...uzuri usingefugwa kwa kuwa walikuvamia!
 
Ilibidi upasue kichwa cha muhuni mmoja...uzuri usingefugwa kwa kuwa walikuvamia!
Mkuu uwezo wa kutenda hivyo nilikua nao ila niliona nitoe worning kwanza sbbu wangenikata panga wale
 
Nadhani unasema ukweli kwani sioni loopholes nyingi ninazoziona kwenye story za uongo hapa. Ulifanya vizuri sana kupiga kwanza risasi juu. Ila kama wangakaidi ingebidi uwalenge. Na mimi nikupe kisa kimoja cha kweli kilichowahi kutokea miaka ya nyuma karibu na maeneo ya Tangibovu Dar. Kwenye muda wa saa tano usiku jamaa mmoja alivamiwa nyumbani kwake. Kwa bahati nzuri akapiga mayowe na majirani wakatoka. Katika hao majirani alikuwepo mwanajeshi mmoja na alikuwa na handgun. Akanyelea bila woga akamkuta mmoja ya wale wezi amebana kwenye michongoma inayozunguka ile nyumba. Alipomwona akamwamuru ''jisalimishe weka mikono juu''. Kumbe kwa bahati mbaya sana yule mwizi nae alikuwa na silaha ya moto akawahi kumpiga na kufariki pale pale. Nikirudi kwenye kisa chako... Dar inatakiwa uwe makini sana kusoma mazingira na adui yako kwani unaweza kupiga juu kumbe mwenzako iko chemba na akakuwahi.
 

Nina silaha zaidi ya miaka 7 sijawahi nenda nayo ibada...yaweza kuwa kweli ila siamini hii hadithi yako maana unalazimisha tukuamini
 
Nina silaha zaidi ya miaka 7 sijawahi nenda nayo ibada...yaweza kuwa kweli ila siamini hii hadithi yako maana unalazimisha tukuamini
Hkna sehem nimeandika kua lazima uamini mkuu, kwa mazingira yale niliokuepo ilinilazimu kuchukua tahadhari sbbu ucku na giza la kijijini
 
Mkuu naomba mbinu za kupata mguu wa kuku kwa haraka,ila kwa njia halali
 
Hata tumeshajua una glock, na gari...
Wewe ni tajiri bhana!
 
Sawa boss, ilikuwa Gloc 17 ama?
 

Ndugu hiyo ni Glock 17 au?
 
Ulizua taharuki kwakweli hapo kijijini au ilikuwa na kiwambo? Watu walithubutu kutoka kweli
 
Wale niliamini kua ungomvi wao ulikua ni mambo ya uzinzi2 lkn wangekua na nia na mimi nicngetoa warning bullet ningekula vichwa vyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…