EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,701
Stori ipo hivi...
Wikiendi fulani mwaka juzi mida ya saa11 jioni baada ya kushinda zangu home tangu asubuhi na kazi za usafi na mambo mengine ya home nikasogea zangu kwenye kiduka cha Mangi hapa mtaani kwetu nikawa napiga Serengeti zangu taratiiibu

Mida ya saa2 akaja mrembo ambaye haishi mtaani kwetu kwa confidence ya kilaji nkamfata dukani na kumuomba namba
akazingua nkampa yangu. Baada ya nusu saa akanitext mawasiliano yakaanzia hapo.
Kumbe alikua ananitext kwa simu ya mdogo wake anayesoma kidato cha tano hapa mjini. Denti akirudi shule jioni anaendeleza kuchati kana kwamba ni dada mtu na mm sijui lolote.
Yule dada "dem wangu" akawa ameondoka kwenda kwao Tanga bila kuniaga kumbe hana simu na denti alimzingua akampora simu na kuendelea kutuchati na mimi.
Sina hili wala lile nkawa nampanga"demu wangu" aje akasema kwamba atakuja jmosi inayofata bila kujua ni imposter.
Nimekaa zangu home uzuri nyumba haina majirani wa karibu so sikuwa na wasiwasi. Mida ya saa tisa kamvua kananyesha denti (kumbuka hapo hajajitambulisha kama sio yule mdada wa mwanzo) mi nachati kichwani nkijua nachati na yule mdada akaniambia anakuja.
Ile anafika kumcheki ni mdada mrembo kuliko yule nliyekua nadhani nachati nae na miili ya watoto wa siku hizi nishiiiida, ikabidi nianze kumhoji imekuaje amekuja yeye akasema yule dada alishaondoka kitambo saana na siku zote nachati na yeye nkamwambia kwaio wewe ndo umeamua kuchukua nafasi yake akasema ndio.
Nikawaza kumrudisha kwao lakini tamaa ndo ishaniwaka. Nikamalizana nae akasepa, mara ndo ikawa mazoea. Ndani ya mwezi akadai kanasa hapo ndo mtiti ukaanza. Nlihangaika sana maana sijawahi juaga napata wapi msaada, kila nkipishana na askari magereza
nahisi kama kaja kunikamata

huku na kule nikapata msaada na kufanikisha zoezi. Ukawa mwisho wa uhusiano na hako kadenti.
Hawa watoto kwa kudakia mapenzi bado wadogo watatufunga bure.
Wikiendi fulani mwaka juzi mida ya saa11 jioni baada ya kushinda zangu home tangu asubuhi na kazi za usafi na mambo mengine ya home nikasogea zangu kwenye kiduka cha Mangi hapa mtaani kwetu nikawa napiga Serengeti zangu taratiiibu

Mida ya saa2 akaja mrembo ambaye haishi mtaani kwetu kwa confidence ya kilaji nkamfata dukani na kumuomba namba
akazingua nkampa yangu. Baada ya nusu saa akanitext mawasiliano yakaanzia hapo.Kumbe alikua ananitext kwa simu ya mdogo wake anayesoma kidato cha tano hapa mjini. Denti akirudi shule jioni anaendeleza kuchati kana kwamba ni dada mtu na mm sijui lolote.
Yule dada "dem wangu" akawa ameondoka kwenda kwao Tanga bila kuniaga kumbe hana simu na denti alimzingua akampora simu na kuendelea kutuchati na mimi.
Sina hili wala lile nkawa nampanga"demu wangu" aje akasema kwamba atakuja jmosi inayofata bila kujua ni imposter.
Nimekaa zangu home uzuri nyumba haina majirani wa karibu so sikuwa na wasiwasi. Mida ya saa tisa kamvua kananyesha denti (kumbuka hapo hajajitambulisha kama sio yule mdada wa mwanzo) mi nachati kichwani nkijua nachati na yule mdada akaniambia anakuja.
Ile anafika kumcheki ni mdada mrembo kuliko yule nliyekua nadhani nachati nae na miili ya watoto wa siku hizi nishiiiida, ikabidi nianze kumhoji imekuaje amekuja yeye akasema yule dada alishaondoka kitambo saana na siku zote nachati na yeye nkamwambia kwaio wewe ndo umeamua kuchukua nafasi yake akasema ndio.
Nikawaza kumrudisha kwao lakini tamaa ndo ishaniwaka. Nikamalizana nae akasepa, mara ndo ikawa mazoea. Ndani ya mwezi akadai kanasa hapo ndo mtiti ukaanza. Nlihangaika sana maana sijawahi juaga napata wapi msaada, kila nkipishana na askari magereza

nahisi kama kaja kunikamata

huku na kule nikapata msaada na kufanikisha zoezi. Ukawa mwisho wa uhusiano na hako kadenti.Hawa watoto kwa kudakia mapenzi bado wadogo watatufunga bure.