Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Nina ndoto ya kumiriki kampuni yangu.
Moja ya mawazo namba moja ni kutokuajiri mtu kwa vyeti hata tangazo langu la kuhitaji wafanyakazi litasema kabisa elimu yako sio kipaumbele cha kukupatia Kazi. UZOEFU AU KIPAJI ndio kaulimbiu yetu.
Swali langu ni hili......
Serikali yangu itaruhusu kampuni yangu kuendeshwa hivyo ? Kuna vitengo nyeti nitahitaji wenye elimu ya idara hiyo.
Nawasilisha......