siku nikipanda ndege!

Mnanidharu kumbe wengine hamjawah panda!
 
mara paaaap.! unakufa mlangoni mwa ndege.
 
Hivi karibun nataraji kupanda ndege! siku hiyo ntahakikisha ndugu wote na wana Jf wanajua kuwa nimepanda ndege.
Mimi nilijaribu kurusha lkn sikumudu gharama za mafunzo ya kurusha angani.
 
Itapendeza sana...

Usije ukasinzia tu... badala ya kushukia chato, utajikuta Mumbai...

Cc: mahondaw
 
Ushamba mzigo.

Yani mpaka leo hii kuna vijana ndoto yao ni kupanda ndege tu?? Aisee inasikitisha sana na kwa mwendo huu CCM itabaki madarakani kwa muda mrefu mno.
 
Kwani CCM kubaki madarakani muda mrefu ni shida mkuu?
Ushamba mzigo.

Yani mpaka leo hii kuna vijana ndoto yao ni kupanda ndege tu?? Aisee inasikitisha sana na kwa mwendo huu CCM itabaki madarakani kwa muda mrefu mno.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…