Kifo ni kifo roho itaondoka katika mwiliUtakufaje...!!!Unaweza kufa kama P.lumumba ukatupwa kwa tindikali,Au Ukaliwa na fisi mithili ya james hadley a virture is patient bird Au ukafukiwa na kifusi katika migodi ya mabepari Au ukaliwa nyama mbichi na antibalaka:
Huyo mtoa post atakuwa ajielewi.Utakufaje...!!!Unaweza kufa kama P.lumumba ukatupwa kwa tindikali,Au Ukaliwa na fisi mithili ya james hadley a virture is patient bird Au ukafukiwa na kifusi katika migodi ya mabepari Au ukaliwa nyama mbichi na antibalaka:
Nimejaribu kutoa picha kubwa ya aina za vifo,Je waweza kuipata adhabu ya kaburi wakati umemezwa na chatu au umetafunwa na simba wa RUAHA NATIONAL PARK..,???Kifo ni kifo roho itaondoka katika mwili
Nimejaribu kutoa picha kwa upana juu ya vifo,Je unaweza kupata adhabu ya kaburi ikiwa umemezwa na chatu wa pori tengefu la sumbawanga au umetafunwa na simba wa RUAHA NATIONAL PARK..?Kifo ni kifo roho itaondoka katika mwili
Nadhani kufahamu aina za vifo watu hupitia dunia hii na tamaduni za watu wengine katika kila kona ya dunia ni nzuri zaidi, nimehudhulia mazishi ya kuchoma maiti/mwili kwa jamii ya wahindi mara tano!Huyo mtoa post atakuwa ajielewi.
Kifo ni fumbo kubwa sana Kwa wanadamu.
Sio watu wote wanaokufa wanazikwa kaburini
Ni kilio mkuu kwa wanaokuzunguka lakini itakuwa ushindi mkubwa sana kwangu,safari ya amani inapowadia,sitakuwa na stress kama nilivyo hai, maisha yangu yote yanakua ya ndotoniSiku nikilala lala mautiiii, hakuna awezaye kuniqmshaaaa,Ni vilioooo
Mkuu,una maanisha wewe una prefer kifo kuliko uzima ? ,Kifo kinatisha kwa sababu hatujui tuendako kupojeNi kilio mkuu kwa wanaokuzunguka lakini itakuwa ushindi mkubwa sana kwangu,safari ya amani inapowadia,sitakuwa na stress kama nilivyo hai, maisha yangu yote yanakua ya ndotoni