miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
Hahahah huyo paka azeeke ndo nashuka
Pale unapopokea barua ya kufukuzwa kazi na kesi mahamakani ya ubadhirifu huku ukiwa na deni bank?
Unapogundua kaka/mdogo wako kumbe ni shoga (gay).
Father Amefariki huku familia mnapigania mirathi.
Umedisko chuo au umepiga zero.
Mkeo unachapiwaaaa.
Umepima umekutwa na HIV.
Mwanzo WA STRESSS:angry::angry:
Teh Teh dah
mi nilitegemea utatupia like au na wewe ndo UKAWA.......!!!
Aiseee mkuu kuishi raha sana unakubali kutangulia kirahisi namna hiyo?
UKAWA ndio kina nani???
Hahahahahah,naona ataka nishuke ili apande yeye sasa namie nimemuweza kweli yaani hapo mpaka expire date ifike ndo nashuka