Siku mwenge wa uhuru ulipolipuka

Siku mwenge wa uhuru ulipolipuka

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,844
936095_326915080809476_4087629733299783703_n.jpg
 
Bado haujalipuka, angalia nembo ya mkono wa kushoto, japo kwa matendo ya sass ni kama vile umeishalipuka - angalia nembo ya kulia🙂
 
kama unakaa karibu na milima yenye volcano hai, ukihisi joto linaongezek bila mpango...anza kuhamisha makazi
 
Mkuu unataka kusema mwenge ndo unafanya watu waendelee kutumia rasilimali pamoja, kwamba usipokuwepo kwa maana ya kulipuka kila mtu atachukua chake??? kama nimekupata sahihi basi kumbe ni bora ulipuke maana angalau tutaambulia kitu kuliko saiv unawaka wajanja wachache wananufaika na familia zao.
 
Ukilipuka..kama umeangalia vizuri yale maneno Uhuru na Umoja...yamefunikwa..usiombe twende huko
 
Hiyo picha haikulenga mwenge wa uhuru, bali meno ya tembo aka pembe za ndovu. Niliwahi kukutana nayo kwenye banners za watu wa maliasili au mazingira vile. Inaonyesha hali ya tembo 1960, na hali ilivyo miaka hii ambapo kila mtu anajichukulia meno ya tembo

attachment.php
 
mi nimelenga mwenge.... si umeona yale majembe ya sisiem yamedondoka pia
 
Malenga hapa utakuwa umetupoteza, hii Ni nembo ya Taifa, nilidhani na kuamini thread yako na hiyo nembo umevileta kiutani ili tuchemshe vichwa kwamba iwapo huo mwenge ukilipuka kitatokea nini? Ila kwa wewe kusema "majembe ya ccm yameanguka" nadhani ilitakiwa kujua kila alama pale ina maana gani,kwa taarifa yako yale si majembe ya CCM ila Ni shoka na mkuki kama siyo shoka na jembe - nitasahihishwa. Kikubwa kwenye mchoro wa kulia unaweza pata tafsiri nyingi Sana ila si kama yako.

poa mkuu...lakini unadhani kwa nini wajamaa wamekimbia na hayo meno kila mmoja upande wake.....
 
ndio maana nimekuambia nembo ya mkono wa kulia ina maana nyingi sana zaidi ya moja

kwa vuguvugu lililoko nchini unatafsirije na hiyo picha... Muungano, katiba, ufisadi, ukosefu wa ajira,... majembe ndo mlisema kwamba inawakilisa kazi(madawa ya kulevya washkaji wanakamatwa china)... kuna water bodies(Lake nyasa/malawi) bendera naipeleka kwenye muungano, UHURU NA UMOJA...bado upo? kwa hali tulionayo kama wanaokula ni wachache, watu wakiandika kwa uhuru wakuongea wanafanya vibaya....
 
Huyo ni kinana na mkewe,wanasepesha pembe za ndovu
 
Mimi hata sijaona viguvugu la aina yoyote hapa Tanzania,isipokuwa ni watu fulani wahuni waliyo ndani na nje ya system wanatake advantage ya wajinga kufanikisha mambo yao. Ila nakushauri urudi na kuielewa nembo ya Taifa vizuri na uielewe kwa maana hata unachodhani kuwa ni vuguvugu kikifanikiwa hio nembo haitabadirika.
kwa vuguvugu lililoko nchini unatafsirije na hiyo picha... Muungano, katiba, ufisadi, ukosefu wa ajira,... majembe ndo mlisema kwamba inawakilisa kazi(madawa ya kulevya washkaji wanakamatwa china)... kuna water bodies(Lake nyasa/malawi) bendera naipeleka kwenye muungano, UHURU NA UMOJA...bado upo? kwa hali tulionayo kama wanaokula ni wachache, watu wakiandika kwa uhuru wakuongea wanafanya vibaya....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom