Siku moja kabla...

Siku moja kabla...

micka jac

Member
Joined
Apr 4, 2014
Posts
49
Reaction score
20
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi Mungu, pia shukrani kwa mama kwa jina king'asti. Nakushukuru mama kwa wema ulionitendea. Kamwe katika maisha yangu sitakusahau. Haunijui wala haunitambui lakini umenifadhili kama mtoto wako. Pia niwashukuru wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine. Mwenyezi mungu awabariki na awajaalie neema ninyi na vizazi vyenu. Vilevile mungu awasameheni nyote mliohisi mimi ni mwongo mungu awasamehe sana.
 
Mida ya Dautch Welle mpendwa, tupe habari kamili ni nini kimetokea?
 
Haya kasome sasa hatutaki tena hizo div 5,hata kipindi cha matokeo unakaribishwa kuja kutoa ushuhuda hapa hapa
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi mungu, pia shukrani kwa mama kwa jina king'asti. Nakushukuru mama kwa wema ulionitendea. Kamwe katika maisha yangu sitakusahau. Haunijui wala haunitambui lakini umenifadhili kama mtoto wako. Pia niwashukuru wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine. Mwenyezi mungu awabariki na awajaalie neema ninyi na vizazi vyenu. Vilevile mungu awasameheni nyote mliohisi mimi ni mwongo mungu awasamehe sana.

kumbe king'ast ni mama! hongera mkuu kwa ufadhili wako may Might God expand your territory!
 
wewe akili yako itakua imezama kama kivuko cha korea.
......loading error.....................
 
Mshukuru Mungu sana,,, Dada Hongera sana kwa moyo wako. Mko wachache saana.

I am a man
Namuheshimu sana mwanamke, wanajali sana na rahisi sana kumuamini mtu!
 
Inatakiwa hivyo mtu akikusaidia jambo fulani kumbuka kushukuru, umefanya la maana sana
 
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/648603-siku-nne-tu-3.html#post9387630

habari nzima ilianzia hapo juu. na mrudisho nyuma uko hapa:

Mrejesho:

Jana huyu kijana alinitaarifu tena juu ya suala lililoibuka la kulipia kituo cha kufanyia mtihani. Nikamuagiza kwa sababu alishasema ana tzs 30,000/= basi azitumie hizo kulipia kituo cha mtihani na tutaona cha kufanya juu ya ada. Kweli alifanya hivyo na kukamilisha na kupewa reference mpya (kwa sababu asingeruhusiwa kutumia ile ya form two).

Kijana micka jac amelipiwa ada ya mtihani kiasi cha tzs 73,000/= leo hii. Ada ilifika hapo tena kwa sababu kulikuwa na fine ya kuchelewa kulipa.
vanmedy, tafadhali wasiliana kwa pm na kijana ili umtumie ile pesa yako (hakika sio ndogo kwa mhitaji na Mungu akubariki). Napenda kutoa shukrani za dhati kwa babu Dark City kwa kuongezea sehemu ya ada, na kwa kaka Matola kwa kumtumia kiasi kwa ajili ya kumsaidia nauli na mengineyo.

Haya dogo ulete matokeo hapa, diaspora Mbu anasubiri kuhusishwa na ada ya chuo. tena ukipata ualimu ndo kabisaaaaa, urudi na thread 100 hadi watoe!

Kitu alichonipa raha huyu mtoto ni kutaja ada na kusema kiasi alichokwisha kutafuta. Ni mtu mwenye bidii na ambae hajabweteka. Niliwahi kukutana na kijana mwingine alikuwa na biashara ya genge huku anasoma high school. Kweli ukifanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu, tutakuja kukutana maofisini huko. Ukimaliza shule useme tukutafutie na ajira.

Aluta continua:grouphug:
 
kuwa mtu wa shukurani ni jambo la kheri.
malipo yetu kama wakubwa zako (hapo kwenye uzazi toa hapo kwi kwi kwi), ni wewe kufaulu. Kaza buti, komaa kama mhaya na hakikisha unafaulu.

Kila la kheri.
Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi Mungu, pia shukrani kwa mama kwa jina king'asti. Nakushukuru mama kwa wema ulionitendea. Kamwe katika maisha yangu sitakusahau. Haunijui wala haunitambui lakini umenifadhili kama mtoto wako. Pia niwashukuru wote mlioshiriki kwa namna moja au nyingine. Mwenyezi mungu awabariki na awajaalie neema ninyi na vizazi vyenu. Vilevile mungu awasameheni nyote mliohisi mimi ni mwongo mungu awasamehe sana.
 
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/648603-siku-nne-tu-3.html#post9387630

habari nzima ilianzia hapo juu. na mrudisho nyuma uko hapa:

Mrejesho:

Jana huyu kijana alinitaarifu tena juu ya suala lililoibuka la kulipia kituo cha kufanyia mtihani. Nikamuagiza kwa sababu alishasema ana tzs 30,000/= basi azitumie hizo kulipia kituo cha mtihani na tutaona cha kufanya juu ya ada. Kweli alifanya hivyo na kukamilisha na kupewa reference mpya (kwa sababu asingeruhusiwa kutumia ile ya form two).

Kijana micka jac amelipiwa ada ya mtihani kiasi cha tzs 73,000/= leo hii. Ada ilifika hapo tena kwa sababu kulikuwa na fine ya kuchelewa kulipa.
vanmedy, tafadhali wasiliana kwa pm na kijana ili umtumie ile pesa yako (hakika sio ndogo kwa mhitaji na Mungu akubariki). Napenda kutoa shukrani za dhati kwa babu Dark City kwa kuongezea sehemu ya ada, na kwa kaka Matola kwa kumtumia kiasi kwa ajili ya kumsaidia nauli na mengineyo.

Haya dogo ulete matokeo hapa, diaspora Mbu anasubiri kuhusishwa na ada ya chuo. tena ukipata ualimu ndo kabisaaaaa, urudi na thread 100 hadi watoe!

Kitu alichonipa raha huyu mtoto ni kutaja ada na kusema kiasi alichokwisha kutafuta. Ni mtu mwenye bidii na ambae hajabweteka. Niliwahi kukutana na kijana mwingine alikuwa na biashara ya genge huku anasoma high school. Kweli ukifanya kazi kwa bidii na kwa uaminifu, tutakuja kukutana maofisini huko. Ukimaliza shule useme tukutafutie na ajira.

Aluta continua:grouphug:

Hongera sana King'asti na mungu akuongoze uwe na moyo huo huo na wote mliomsaidia huyo kijana mungu hatawatupa
 
Last edited by a moderator:
hongereni sana kwa kumsaidia kijana Mbarikiwe kwa hilo......kijana kaza buti soma elimu ndo ukombozi
 
Ntachangia next time, nimehamasika sana.

JF ni home kwangu, my favourite place to be.
 
Hongera sana King'ast na wengine mliomwezesha kijana. lmenikumbusha familia moja iliyowahi kunifadhili A level sitakaa niwasahau na leo mimi ni Lecturer I always pray for them najua siwezi kuwalipa. Wapendwa mmepanda mbegu na hakika amsaidiaye mhitaji anamkopesha Mungu. mtalipwa.
 
Back
Top Bottom