Ni noumaaHii nchi ambae hakua mpigaji Ni Nyerere tu.
Wengine wote madeal Ni Kama kawa tu.
Alipojimilikisha mgodi wa Kiwira na mwenzake Yona waliweka mambo wazi!?Hayo yalikua maneno ya Mzee nkapa, tutamkumbuka kwa sera yake ya ubinafsishaji japo aliuza bei sawa na bure kuanzia viwanda, migodi tukasamehe,
Watoke wao aingie nani maana hamna Chama kilichojipambanua kuwa watakuwa bora kuliko wao🤩Wakija kutoka hawa ndugu zangu CCM madarakani,, ndiyo tutaona matobo mengi mno, mpaka kwenye pichu
Asubuhi yote hii au unazimua?Nimekumbuka nina beer kwenye fridge...
Asubuhi ndio muda mzuri wa kunywaAsubuhi yote hii au unazimua?
Nimekumbuka nina beer kwenye fridge...
Nimekuja kasi....kumbe huna ulijualo
Kuna waliojimilikisha migodi,majumba wakagawana,kuna waliochukuwa cashmoney wapi zipo 1.5Trilion?,(pro Assad)
Kunawalioset mpaka control namba zao pesa zikawa zinamiminika vyumbani mwao.
Mleta mada umebahatika kuuuona huo mkataba au nawewe umesimuliwa?
Jf kila mtu n mchambuzi anajua Siri za nchi
Japo sjauona huo mkataba ila nachoamini hakukuwa na uadilifu wakat wa kusain huu mkataba
Nn kifanyike wabunge na wananch tushinikize tuuone huu mkataba tujue ukwel Kwan ges n Mali yetu na hao waliosaini n wawakilishi tu sio wamiliki
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app