Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

hayaaaaa bana kama kutupa line ndo ujanjaa
 
Mimba hata lisaa Lea wewe acha hizo siulitaka choooo haya nenda haja sasa

Usikimbir umande mzeee haaa ulikuwa hujui au
 
uko sahihi bro, akili yangu iliwaza hivyohivyo, ndo mana nikastukaa.
 
wewe umeenda kuzini halafu una mpango wa kumkorogea binti madawa mimba itoke halafu unasema unafuata misingi ya dini yako? dini ipi hiyo?
Hiyo dini kiboko mkuu. inaruhusu zinaa na utoaji mimba lakini hairuhusu matumizi ya kondom
 
Mnawaandalia watoto wenu laana za kudumu
 
Kama kweli mimba ni yako huoni kama umekimbia tatizo mkuu!??
 
Afadhali wewe mkuu, Mimi nilipewa taarifa baada ya kutoka kuoga, ile nimeenda bafuni kuoga bàada ya mechi kwa Mara ya kwanza natoka tu naambiwa nina mimba yako.,
 
sasa mkuu we ulitaka upige mwenzi au wiki mfululizo embe acha ujinga halafu unajiita pharmacier?
 
Africa tumeisha!!!..... Phamacist unafanya ngono bila kinga?????
Kila leo matangazo kila kona watu wameamua kuwa wajinga kupita kiasi . Nashindwa kuelewa utamtia mtu vipi peku na unajua madhara yanayokuja?

Kingine mtu mwenyewe haumjui. Halafu mtu akipata magonjwa anaanza kumsingizia shetani. Hata shetani ni msafi uki compare kwa binadamu wengine.
 
Vijana acheni uzinzi, tamaa ya ngono ni mlango wa uovu!!
Kataa zinaa , kiu ya zinaa dawa yake ni Bwn Yesu!!
 
Pharmacist lakini haujui kama mimba inashka vipieee?
Vyakunyonga vimekuponza baba kijacho.
 
Afadhali wewe mkuu, Mimi nilipewa taarifa baada ya kutoka kuoga, ile nimeenda bafuni kuoga bàada ya mechi kwa Mara ya kwanza natoka tu naambiwa nina mimba yako.,
hahaha anakuuzia mbuz kwenye gunia, huyo alipima kabla akajua ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…