Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

mtoa mada wewe ni mwewhu, hjawai one mwanaume anapigwa Pumbu Zenge, anakatwa mirija yote na kuishia kuwa bwabwa kwa mara moja? we unadhani mashoga upiga shoo mara nying ni mara m,oja tu manyeo yakitoa uji uachi mchezo huo
 
hiyo sio yako mkuu usikubali
ata mi najua kanibambika, ndo maana nimeshangaa, alikua anayo kabla, so mi nilivyoingia akaona hapa ndo pakuibambika. kchwan uko vzur bro, sio hayo manyumbu yasiojua kusoma na kutafakari.
 
Aisee naona watoto wengine wanaotelekezwa na baba zao wanaongezeka. Hongera mkuu kwa kuleta mtoto atakayekuwa na maumivu moyoni kwa kumkosa baba
 
Mimi kama nimeelewa kwamba ndani ya siku mbili binti akasema ana mimba kitu ambacho hakiwezekani au sio famasia.
Kabla ya tendo binti alishasema yupo kwenye siku za hatari. Kinachomshangaza ni nini hata kama angemwambia siku hiyohiyo ana mimba ni sawa
 
ata mi najua kanibambika, ndo maana nimeshangaa, alikua anayo kabla, so mi nilivyoingia akaona hapa ndo pakuibambika. kchwan uko vzur bro, sio hayo manyumbu yasiojua kusoma na kutafakari.
Manyumbu vipi na uliambiwa kabla ya tendo kuwa yupo kwenye siku za hatari? sasa kama binti anajielewa yupo kwenye ovulation period na wewe ukazama pekupeku si hata siku hiyo hiyo anajua kuwa umeshampa mimba?
 
gombo la chuo hilo
 
Siku mbili za nn baada ya tendo au siku mbili kufanya tendo?
 
Siku mbili za nn baada ya tendo au siku mbili kufanya tendo?
daah umeuliza swali zuri sana, ulipata 1.3 Alvel bila shaka, siku mbili baada ya tendo kesho yake anapga cmu anasema nina mzgo wako!!!! haiiningi akilini.
 
Manyumbu vipi na uliambiwa kabla ya tendo kuwa yupo kwenye siku za hatari? sasa kama binti anajielewa yupo kwenye ovulation period na wewe ukazama pekupeku si hata siku hiyo hiyo anajua kuwa umeshampa mimba?
mamafive mtoto ataka nyonyo
 
Hivi mmeambiwa mimba huwa inaingia baada ya kugegedana mara ngapi?? Maana mtoa mada anashangaa siku mbili tu mimna tayari na mwingine anashangaa wiki tu... halafu huyo wa wiki yaani alipima kabisa ili agonge kavu kavu. 🙂
 
Acha ujinga wa kukataa mtoto,
 
You're right Mr. Pharmacist. Yani anakupa chiu jana na leo, then kesho aseme haoni siku zake?..teh teh..kwanza inachukua mda gani kujua kuwa mtu amenasa mimba baada ya kunjunjana? Sio siku mbili, mbili wala tatu. Anakubambikia huyo....
 
Mkuu apo kama Pharmacist najua ile midawa yetu ile misoprostol na familia yake ya prostaglandins itahusika!! tena ukitaka upate mchanganyiko mzuri kuhakikisha shughuli inaenda vizur kuna ingredient moja apo ukimix unamaliza kazi....

Ila sio vizuri kukatisha uhai wa kiumbe ulichihusika kukileta mwenyewe duniani... bora uwajibike kumlea uyo mtoto
 
pharmacist upo shallow biology hivyo au unatuzuga??? unauliza mimba siku mbili? halafu unaweza ukamsababishia mtoto wa watu madhara na hayo masumu unayopanga kumpa, hovyo kabisa
 
pharmacist upo shallow biology hivyo au unatuzuga??? unauliza mimba siku mbili? halafu unaweza ukamsababishia mtoto wa watu madhara na hayo masumu unayopanga kumpa, hovyo kabisa
Kwa hiyo ukimlala mwanamke leo na kesho, keshokutwa akikuambia haoni siku zake utafurahi mimba ni yako? teh teh daah!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…