Siku mbaya hii

Siku mbaya hii

Ximena

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2014
Posts
641
Reaction score
353
Tangu nimeamka siku ya leo nimekuwa ni mtu mwenye huzuni tu, sijisikii kuongea na watu wala kufanya shughuli yoyote, matukio yote mabaya yaliyotokea maishani mwangu yanajirudia kichwani na kusababisha nilie tu kila ninachofanya kupoteza mawazo haya hakinisaidii.
Nimejaribu kuangalia movie, kusikiliza music na kutembea tembea lakini bado tu sina raha kabisa wala amani moyoni mwangu.
Hivi kuna kitu chochote kingine ambacho naweza nikafanya kikanisaidia?
 
jamani mdogo wangu kulikoni tena? Usijali mamii siku hazifanani MUNGU akupe amani.
 
nashukuru my sis yaani hata sijui kwanini, iishe tu kwa kweli hii siku huenda kesho nitakuwa na furaha
 
It happens to all
Kesho utakua ok inshalah. Fanya meditation kama unajua au sali tu kwa imani yako kisha lala mapema
 
je ulikwenda kanisani kuomba ? kama hujaenda nakushauri nenda kanisani au kwenye nyumba za ibada ukaombe kisha uje uniambie kama hizo ndoto zimekujilia nitakupa somo jipya

Tangu nimeamka siku ya leo nimekuwa ni mtu mwenye huzuni tu, sijisikii kuongea na watu wala kufanya shughuli yoyote, matukio yote mabaya yaliyotokea maishani mwangu yanajirudia kichwani na kusababisha nilie tu kila ninachofanya kupoteza mawazo haya hakinisaidii.
Nimejaribu kuangalia movie, kusikiliza music na kutembea tembea lakini bado tu sina raha kabisa wala amani moyoni mwangu.
Hivi kuna kitu chochote kingine ambacho naweza nikafanya kikanisaidia?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom