Siku Makonda alipomfagilia Nape

Siku Makonda alipomfagilia Nape

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
16,863
Reaction score
62,390
Once upon a time Makonda alitoa big up nyingi sana kwa Nape na Kinana
Leo hii kazi ya Makonda anaifanya Musiba
Sometimes What goes around comes around
Leo kibao kimegeuka, Lowasa ni darling wa Mwenyekiti mpya, Nape na Kinana wamegeuka kuwa makubwa ya maadui
Na Makonda aliyekuwa akiwafagilia naye sasa yuko upande mwingine!

Aisee kumbe Makonda amewahi kuwa Musiba enzi zake. Kwa hiyo tutarajie Musiba aka mwanaharakati huru kuwa RC 2020?
 
watu aina hii ndio ng'ao kwa ccm
 
Once upon a time Makonda alitoa big up nyingi sana kwa Nape na Kinana
Leo hii kazi ya Makonda anaifanya Musiba
Sometimes What goes around comes around
Leo kibao kimegeuka, Lowasa ni darling wa Mwenyekiti mpya, Nape na Kinana wamegeuka kuwa makubwa ya maadui
Na Makonda aliyekuwa akiwafagilia naye sasa yuko upande mwingine!

"hustaili kutoa ama kupokea rushwa". Dah Ngoja niendelee kubeba boksi hapa
 
BASHITE and Watu wasiojulikana Company wameifanya nchi ionekane ya hovyo. Hata MK254 anatucheka na tabia za kutekana

Hehehe! Huku huwa napita kimya japo nikijechekea, ila jamaa wamepoteana, mara mabarua, mara audio zinavuja za maongezi ya simu, yaani ngumi zinarushwa haujui nani anampiga nani....vipi mwenyekiti mbona yupo kimya.
Na hata huku kwetu sio kwamba kumetulia sana, kuna vioja vya barua kuvuja ya kutaka kummaliza nabu wa rais.
 
Makonda alifanya kazi yake na matunda anakula sasa hivi. Zamu ya Musiba kula matunda ni 2020 na kuendelea.
 
Once upon a time Makonda alitoa big up nyingi sana kwa Nape na Kinana
Leo hii kazi ya Makonda anaifanya Musiba
Sometimes What goes around comes around
Leo kibao kimegeuka, Lowasa ni darling wa Mwenyekiti mpya, Nape na Kinana wamegeuka kuwa makubwa ya maadui
Na Makonda aliyekuwa akiwafagilia naye sasa yuko upande mwingine!

ndo maisha yapo hivyo hvyo
 
Aisee kumbe Makonda amewahi kuwa Musiba enzi zake. Kwa hiyo tutarajie Musiba aka mwanaharakati huru kuwa RC 2020?

Walio mtuma wakiona mna muandama sana wanampa Cheo ili iwe ngumu kumfikia ..
 
Back
Top Bottom