Siku maalum kwa watu maalum (special day for special people)

Baba Mtu

JF-Expert Member
Aug 28, 2008
870
168
Leo ni tarehe 10/10/2010.

Ni siku maalum katika mwaka huu wa 2010 sababu kila kitu kinaishia na kumi, kuanzia tarehe, mwezi na hata mwaka wenyewe. Siku hii haitokuja tena katika mwaka huu.

Nawatakieni kila la heri katika siku na siku zijazo pia. Mungu awape afya njema hadi oktoba 31, 2010.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…