Tumepika, tumekula tukashiba ndiii
Balaa likaanza la vyombo
Alhamdullilah tukafanikiwa maliza kuosha.. Tukachill kwa kideo kuwacheck Anfield wakitikisa nyavu.
Hapa sahii niko Live na Wasafi, ila wanastuck mchaneli hauko clear. Mond anakwama.
Day well spent 😍