Hili nimeliona kila ninakopita na ninaowaona. Pia nimesikia sijui wapi tena kuwa ni fasheni mpya! Nami nimeanza pia kuwahusudu wanawake wenye vitumbo. Katika hili, mwanamke anapendeza zaidi pale tumbo linapokuwa kwenye uwiano
na kalio.
Sasa kama unapenda tumbo liwe na uwiano na kalio,unawapa ushauri gani?Wale nini au wafanye mazoezi gani.
Huenda ukamsaidia hata mmoja na ukawa umeleta tofauti.