Siku hizi wanawake hawachelewi kututambulisha kwa ndugu/wazazi, kwanini?

MLALUKO JR

JF-Expert Member
May 3, 2015
962
305
Habarini za mihangaiko,

Na changamoto za kimaisha wanaJF.

Napenda kufahamu, maana siku hizi wanawake wamekuwa ving'ang'anizi na rahisi kutaka kukutambulisha kwa ndugu zao au hata wazazi wao hasa Mama zao! Kwanini hali imekuwa hivi kipindi hiki je, ni kwa sababu wanaume wamekuwa wachache kiuwiana au ni haraka za kutaka kuolewa wakijua ukitambulishwa au ukimtambulisha mambo hayataenda mrama?

Mwenye kufahamu tufahamishane!
 
Nimegundua nw makochi ya nyumbani kwangu yanachoka sana...mzee kabana huyu mpk tunakosa vya kupost
 
"Nimeshona sana sare, nimehudhuria sana vikao na nimechangia sana kwenye harusi za wenzangu" alisikika akilalama mdada fulani
 
Back
Top Bottom