Siku hizi Msumbiji Kunani?

Siku hizi Msumbiji Kunani?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,300
Nimeingia Mtwara jana mchana . Nimekuja ' kutafuta toto za kimakonde" @ Wasafi Festival.

Miaka ya nyuma ilikuwa ukija Mtwara unakutana na wabongo kutoka sehemu mbalimbali za Tz wakipiga mitkasi ya kuvuka boda la Mtwara kwenda Moz kutafuta maisha .. But i am surpised kwa muda mchache nilio kaa hapa Mtwara na vijiwe vyote nilivyo vizungukia hapa Mt sijakutana na mitkas hiyo. Whats up with Moz ? Ukiachilia wamakonde wachache wanao enda Moeda kwa ndugu zao, hakuna tena story za Mtipwesh etc.

Wadau wa Moz vipi ? Mambo yapo vipi huko ?
 
Yaani utoke mjini ukimbilie kijijini,hayo mambo hayapo siku hizi mkuu,tunabanana hapa hapa na jiwe letu!
 
Watu wanauza korosho. Hata wa Msumbiji wanafusta bei za Magufuli Mtwara.

Halafu wabongo washauawa na kuibiwa sana Msumbiji.
 
Ni kweli hayo au maneno ya mitandaoni tu mi mbona nimeenda sana Moz kupiga mitkas yangu na sijakutana na kitu kama hicho?
 
Nimeingia Mtwara jana mchana . Nimekuja ' kutafuta toto za kimakonde" @ Wasafi Festival.

Miaka ya nyuma ilikuwa ukija Mtwara unakutana na wabongo kutoka sehemu mbalimbali za Tz wakipiga mitkasi ya kuvuka boda la Mtwara kwenda Moz kutafuta maisha .. But i am surpised kwa muda mchache nilio kaa hapa Mtwara na vijiwe vyote nilivyo vizungukia hapa Mt sijakutana na mitkas hiyo. Whats up with Moz ? Ukiachilia wamakonde wachache wanao enda Moeda kwa ndugu zao, hakuna tena story za Mtipwesh etc.

Wadau wa Moz vipi ? Mambo yapo vipi huko ?
Mkuu siku hizi kuna dalaja LA umoja watu hawapitii tena msimba wanavukia moeda moja kwa moja kupitia darajani, mambo ya viboti kama umekalia maji walishaacha
 
Nimepamiss sana Mueda nisingekuwa na mitkas yangu mingine ningeenda kuchungulia kidogo. Ila tuache utani Moz patamu sana
 
Ni kweli hayo au maneno ya mitandaoni tu mi mbona nimeenda sana Moz kupiga mitkas yangu na sijakutana na kitu kama hicho?
Wewe si unaenda ushuani Maputo, au?

Huku kaskazini watu wanapigika utafikiri enzi za RENAMO bado.

Watu wengi sana wamelalamika kupukutishwa.

Of course inawezekana una deal kwenye oockets ambazo ziko poa pia.
 
Naenda kaskazini mzee siendi Maputo though I wish kufungua biashara Maputo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom