Siku hizi Mashuleni unakuta magari yameegesha tofauti na kipindi cha nyuma

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
Aisee siku hizi shuleni (shule za msingi) hapa mwanza ukipita ni kama vile unapita wizarani, ofisi ya RC, kanseli na hata idarani kwa jinsi magari yanavyopark kwa wingi, unakuta shuleni magari kibao zaidi ya 10 yamepark ambapo ni tofauti kabisa na kipindi kifupi tu cha nyuma kilichopita.Unaweza ukatofautisha na wizarani kwa kuwa wizarani magari mengi utaona ni maVX V8 wakati school ni rav 4, ist na vitz.

Nimefanya utafiti kidogo nimegundua magari hayo mengi yao ni walimu wa kike na sasa najiuliza kwanini walimu wa kike?

Je labda walimu wa jinsia hiyo wanamshahara mkubwa tofauti na wanaume? sasa naona maisha ya walimu yanaboreka.
 
Mambo ya mikopo hayo, ukisubiri hadi uzidundulize hutaendesha gari. Hata hivyo, nchi zenye akili zinazotengeneza magari watu wanakopeshwa magari wanalipa kidogo kidogo kwa mwezi say kwa kipindi cha miaka 2 au 3. Sasa hapa kwetu tatizo watu wengi wanakimbilia kulipa cash pesa taslimu kitu ambacho kinawagharimu wengi. Hata simu ni hivyo hivyo!! Inaboa sana.
 
Aisee siku hizi shuleni (shule za msingi) hapa mwanza ukipita ni kama vile unapita wizarani, ofisi ya RC, kanseli na hata idarani kwa jinsi magari yanavyopark kwa wingi, unakuta shuleni magari kibao zaidi ya 10 yamepark ambapo ni tofauti kabisa na kipindi kifupi tu cha nyuma kilichopita.Unaweza ukatofautisha na wizarani kwa kuwa wizarani magari mengi utaona ni maVX V8 wakati school ni rav 4, ist na vitz.

Nimefanya utafiti kidogo nimegundua magari hayo mengi yao ni walimu wa kike na sasa najiuliza kwanini walimu wa kike?

Je labda walimu wa jinsia hiyo wanamshahara mkubwa tofauti na wanaume? sasa naona maisha ya walimu yanaboreka.

We ni mwalimu ?
 
Sio kweli,wapo walimu wakiume wwngi tuuh,wana magarii ya mkopo..!lakin safari hii ya magu watayapaki tuh.
 
Kuna walimu Ni wake za watu hivyo waume zao ndio wanagaramia gari na mafuta nk nk, na hapo bado nyumbani kuna wahudumu kwa ajili ya kuangalia watoto na kazi zingine.
Sasa ukijiuliza mshahara wa mwalimu ukilinganisha na gharama za gari na wahudumu wa nyumbani unaweza kuta hauna uwiano, hivyo Ni afadhali huyo mama angekaa nyumbani akalea wanae then mume amlipe mshahara maana kuna wengine wanatumika mafuta zaidi ya 300K kila mwezi, sasa Cjui mshahara Ni bei gani???
 
Aisee siku hizi shuleni (shule za msingi) hapa mwanza ukipita ni kama vile unapita wizarani, ofisi ya RC, kanseli na hata idarani kwa jinsi magari yanavyopark kwa wingi, unakuta shuleni magari kibao zaidi ya 10 yamepark ambapo ni tofauti kabisa na kipindi kifupi tu cha nyuma kilichopita.Unaweza ukatofautisha na wizarani kwa kuwa wizarani magari mengi utaona ni maVX V8 wakati school ni rav 4, ist na vitz.

Nimefanya utafiti kidogo nimegundua magari hayo mengi yao ni walimu wa kike na sasa najiuliza kwanini walimu wa kike?

Je labda walimu wa jinsia hiyo wanamshahara mkubwa tofauti na wanaume? sasa naona maisha ya walimu yanaboreka.
Wamenunuliwa na waume zao
 
walimu wengi walioko mjini asilimia 70 HV,ni wakike,na hubebwa kwa mbinu mbalimbali,wengine hutoa rushwa ya (ngono), msiniulize nna ushahidi,wengine huolewa na kuhamia au kuhamishiwa mjini na waume zao,hayo ya kumiliki magari nadhani kila MTU ana akili yake ya kuongeza kipato na kumiliki usafiri.
 
mabosi wengi wanaoa walimu babu...

ukifatilia ma ceo, wakuu wa idara, wafanyabiashara wengi waliofanikiwa.. wake zao ni primary school teachers na secondary school...

so mshahara wake hata kama ukiwa laki moja... ku drive sio ishu mwalimu wa kike
 
Back
Top Bottom