huu hata siyo utandawazi wala uzungu....maana hao wazungu hawana haya mambo ya kutunzana...haya ni mambo yetu wenyewe...na nadhani ni muendelezo wa ile mila yetu ya kufanya na kuendekeza mambo ya kuoneshana nani zaidi...kama ktk hiyo party huyo mama angekuwa na mwanae hana school fees na akataka mchango...ni muhali kudhani pesa zingefika kiasi hicho...