Siku hizi mama hatunzwi kwa Kanga ni mapene tu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
DSC_8727.JPG

Duh si mchezo noti ya chini kabisa ni buku tano zamani zilee mie nilizoea mama anatuzwa kwa kufunikwa na kanga na vitenge kibao...
 
mama kapata heshima yake, bintie sijue, mwanae wa kiume kamletea heshima kwenye nyumba yake...bora na wengine wajifunza kutokaa bila ndoa....
 
Ih ndoa ni ya kule kwa akina Kaishozi,na akina kaijage naisi ndio seemu mama
anatunzwa kwa mbwembwe namna iyo mi nalikwisa ona siku moja
 
Hii yote ni athari ya mambo ya utandawazi na uzungu uliokithiri kipimo
heshima mbele mkuu

huu hata siyo utandawazi wala uzungu....maana hao wazungu hawana haya mambo ya kutunzana...haya ni mambo yetu wenyewe...na nadhani ni muendelezo wa ile mila yetu ya kufanya na kuendekeza mambo ya kuoneshana nani zaidi...kama ktk hiyo party huyo mama angekuwa na mwanae hana school fees na akataka mchango...ni muhali kudhani pesa zingefika kiasi hicho...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom